Ngoma ambayo imembeba mwanamuziki kutoka Marekani Kendrick Lamar mwaka 2024 ya ‘Not like Us’ imetajwa kufikisha wasikilizaji bilioni 1.Mtandao wa Spotify umetangaz...
Video fupi ya marehemu mwanamuziki Michael Jackson (MJ) kutoka Marekani iitwayo ‘Thriller’ imefikisha watazamaji (views) bilioni 1 katika mtandao wa YouTube.Filamu...
Staa wa soka dunia Cristiano Ronaldo ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufikisha mabao 900.
Ronaldo amefikisha idadi hiyo ya mabao baada ya jana kuifungia timu yake ya...
Video ya wimbo unaoshikiria namba moja YouTube, Tanzania wa ’Komasava Remix’ umefikisha watazamaji milioni 10 ukiwa na wiki mbili tuu tangu kuachia kwake.Wimbo huo...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria, #BurnaBoy ameendelea kuupiga mwingi kupitia mtandao wa Sportify na sasa ameripotiwa kufikisha zaidi ya stream bilioni 1.1 kupitia album yake...
Katika taarifa yake na vyombo vya habari Mkurugenzi Mtendani kampuni ya Apple, Tim Cook ameeleza kuwa mpaka kufikia Januari walipozingua ‘Vision Pro’ kampuni hiyo ...
Tazama mbwembwe za michael Jackson akitumbuiza wimbo uitwao 'I Want You Back'. Video hii alikuwa na umri wa miaka mitano.
Michael Jackson alizaliwa August 29, 1958 na kufariki...
Baada ya Mh.Babu Tale kuonesha nia ya kumsaidia msanii chipukizi wa muziki wa Bongo Fleva Founder, watanzania pia wameonekana kuungana na Babu Tale katika kuinua kipaji cha ki...
Albam ya nyota wa muziki kutoka Nigeria Davido inayoenda kwa jina la ‘Timeless’ imefanikiwa kufikisha streams bilioni 1, kwenye majukwaa makubwa ya kuuza muziki mt...
Staa wa Manchester United na nahodha wa timu ya taifa ya Ureno Cristiano Ronaldo amekuwa mtu wa kwanza kufikisha wafuasi milioni 500 kwenye mtandao wa kijamii wa Instagra...