Rapa kutoka Marekani Kanye West ameonesha ukubwa wake kwenye biashara, hii ni baada ya kuripotiwa kupata mauzo ya dola milioni tatu kupitia bidhaa zake za YZY ndani ya masaa 3...
Na Ammar MasimbaAsilimia kubwa ya wasanii wanaochipukia na hata wale walioko tayari kwenye gemu ya muziki hawajui jinsi ya kufanya biashara ya kusambaza kazi zao. Hali hii ime...
Waigizaji maarufu Marekani Tom Holland na Zendaya wameripotiwa kuchumbiana wakati wa msimu wa Sikukuu uliyopita kwenye moja ya makazi ya familia ya Zendaya.TMZ imeeleza kuwa u...
Mwanamuziki Rihanna amemjia juu shabiki mmoja aliefahamika kwa jina la ‘Lorenzo Hirmez’ baada ya shabiki huyo kumwambia Riri anakomwe.“Tunahitaji album komwe...
Katika mazingira ya kazi, kuna vitu vingi vinavyoweza kujadiliwa kwa uwazi kati ya wafanyakazi, lakini pia kuna mambo ambayo ni bora kubaki siri. Kuweka mipaka katika masuala ...
Ubaya ubwela, yaani ni mwendo wa ku-force mambo tuu, wiki hii kupitia biashara tumeangazia, namna ambavyo biashara ya urojo inaweza kukuingizia kipato endapo utaifanya k...
Niwasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano Tanzania, basi wote tusema kazi iendelee, kama kawaida ili mkono uende kinywani lazima kazi na juhudi ifanyike, katika juhud...
Baada ya kujuzana namna ya kupata wateja katika mitandao ya kijamii na jinsi ya kutengeneza bidhaa mbalimbali kwa ajili ya kujipatia fursa, wiki hii Mwananchi Scoop imea...
Kuna methali isemayo mdharau mwiba mguu huota tende msemo huu umesadiki katika baadhi ya biashara ambazo watu wengi wamekuwa wakizichukulia poa lakini ndiyo hizo hizo ambazo z...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini D Voice amedai kuwa yeye ndiyo msanii mdogo kutoka Afrika Mashariki anayerekodi video za mkwanja mrefu, huku akiwataka wanaobisha kuonesha mi...
Niwasalimu kwa jina la Jamuhuri ya Muungano Tanzania, basi wote tusema kazi iendelee, kama kawaida ili mkono uende kinywani lazima kazi na juhudi ifanyike, katika juhudi hizo ...