05
Rais Joe Biden ampa medali ya heshima denzel washington
Rais Joe Biden amemtunuku mwigizaji Denzel Washington heshima ya juu kabisa ya uraia kwa medali ya Uhuru wa chini hapo jana katika Ikulu ya White House nhini Marekani. Medali ...
20
Trump atumia picha ya Taylor kuomba kura
Mgombea wa kiti cha urais nchini Marekani Donald Trump ameripotiwa kutumia picha ya Taylor Swift iliyotengenezwa na akili bandia kuhimiza watu kumuunga mkono katika uchaguzi u...
17
Cardi B agoma kupiga kura kisa Biden na Trump
‘Rapa’ kutoka Marekani Cardi B amedai kuwa hatapiga kura katika uchaguzi ujao nchini humo huku akimkataa Rais Joe Biden na mpinzani wake Donald Trump.Cardi akiwa k...
25
Biden aweka saini sheria itakayoweza kuindoa tiktok Marekani
Rais wa Marekani Joe Biden ametia saini muswada wa sheria ambao endapo utakiukwa mtandao wa TikTok utapigwa marufuku kutumika nchini humo. Baraza la wawakilishi la Bunge la Ma...
06
Michelle Obama akanusha kugombea urais 2024
Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na mke wa aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama, Michelle Obama kutaka kugombea Urais 2024, Michelle amekanusha tetesi hizo kupitia ofisi ya...
05
Mbwa wa Biden afukuzwa Ikulu
Mbwa wa familia ya Rais nchini Marekani, Joe Biden, Commander ametimuliwa Ikulu kwa kutoka na mfululizo wa matukio ya kuwang'ata wafanyakazi wa eneo hilo wakiwemo walinzi wa R...
21
Mtoto wa Biden akiri mashataka yanayo mkabili
Mtoto wa Rais wa Marekani, Hunter Biden mwenye umri wa miaka 53, siku ya jana Jumanne alifikia makubaliano na Idara ya Sheria kwa kukiri mashtaka matatu ya kukwepa kulipa kodi...
02
Ikulu yatoa tamko, Biden kuanguka jukwaani
Ikulu ya Marekani ‘White House’ imesema kuwa Rais Joe Biden yuko sawa baada ya kujikwaa na kuanguka jukwaani alipokuwa kwenye sherehe za kuhitimu Chuo cha Jeshi la...
09
Biden aagiza mashirika ya ndege kuanza kulipa fidia
Rais wa Marekani, Joe Biden, ameagiza wizara ya uchukuzi kuandika kanuni mpya zitakazo yalazimu mashirika yote ya ndege kugharamia chakula na malazi ikiwa kwa uchelewaji au ug...
04
Biden amepongeza uteuzi wa Rais wa Benki ya dunia
Rais wa Marekani Joe Biden amempongeza kiongozi mpya wa benki ya dunia Biden Ajay Banga siku ya jumatano kuwa ni kiongozi mwanamageuzi Rais ambaye atajumuisha mabadiliko ya ha...
25
Biden atangaza kugombea urais 2024
Rais wa Marekani Joel Biden ametangaza nia yake leo Aprili 25, 2023 licha ya utafiti uliofanywa na Kituo cha Runinga cha NBC kuonesha 70% ya wananchi hawataki rais h...
22
Mke wa Biden aanza ziara yake nchini Kenya na Namibia
Mke wa Rais wa Marekani Jill Biden anatarajiwa kufanya Ziara nchini Namibia na Kenya siku ya Jumatano anapoanza ziara yake ya siku tano barani Afrika. Ikulu ya White House ili...
20
Biden aingia Ukraine kimyakimya
Rais wa Marekani, Joe Biden amewasili Kyiv ikiwa ziara yake ya kwanza nchini Ukraine tangu Urusi ilipoivamia karibu mwaka mmoja uliopita. Aidha Safari hiyo ya siri ya Biden k...
13
Rais Biden kuchunguzwa kwa kukutwa na nyaraka za siri
Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Merrick Garland amemteua Mchunguzi maalumu kuchunguza tukio la kupatikana kwa nyaraka za siri katika makazi ya Rais Biden yaliyoko Wilm...

Latest Post