30
Utafiti: Brazili Yashika Namba Moja Nchi Inayopenda Kuoga
Kulingana na utafiti uliyofanywa na kampuni ya ‘Kantar Worldpanel’, unaeleza kuwa nchi ya Brazil inashika nambari moja kama nchi inayopenda kuoga zaidi duniani, ik...
19
Adele atuhumiwa kuiba wimbo
Rio de Janeiro jaji kutokea nchini Brazil, ameamuru kufutwa kwa wimbo wa 'Million Years Ago' wa mwimbaji wa Uingereza Adele kutokana na madai ya wizi wa kazi hiyo kutoka kwa m...
04
Kifahamu kijiji chenye uhaba wa wanaume
Na Asma HamisKuishi kwingi ndiyo kuona mengi msemo huu wa wahenga unajionesha katika kijiji cha Noiva do Cordeiro kilichopo nchini Brazil chenye watu 600.Kijiji hicho kinaripo...
17
Ronaldinho: Sitaangalia mechi yeyote Brazil
Mwanasoka wa zamani Ronaldinho amedai kuwa hataishangilia wala kuangalia mechi yeyote ya Brazil kwenye fainali za Copa America kwa sababu amechoshwa na kipindi cha huzuni. Aki...
30
Klabu ya Al Hilal yavunja rekodi
Klabu anayoichezea nyota wa Brazil Neymar ya Al Hilal kutoka Saudia imevunja rekodi ya dunia na kuingia katika kitabu cha ‘Guinness World Records’ baada ya kushind...
13
Aliomba talaka kwa sababu mumewe hakuwa msaliti
Mwanamuziki kutoka nchini Brazil Caroline Lyra ambaye pia alikuwa mke wa zamani wa mchezaji Ricardo Kaka, amedai kuwa aliomba talaka kwa mumewe kwa sababu hakuwa akimsaliti wa...
20
Dani Alves kuachiwa kwa dhamana
Baada ya kutupwa jela miaka minne na nusu kwa makosa ya ubakaji, hatimaye Mahakama jijini Barcelona imesema itamwachia nyota wa ‘soka’ wa zamani wa Brazil, Dani Al...
09
Bruno wa Singida FG atambulishwa Brazil
Baada ya kutangaza kuvunja mkataba siku chache zilizopita na ‘timu’ yake ya zamani ya Singida Fountain Gate, kiungo Bruno Gomes ameripotiwa kurejea nchini kwao na ...
02
Waendesha mashitaka wataka Alves aongezewe adhabu
Waendesha mashitaka kutoka nchini Uhispania ambao walikuwa wakisimamia kesi ya nyota wa zamani wa Brazil, Dani Alves wanataka mchezaji huyo aongezewe adhabu ya kifungo, huku w...
10
Avunja rekodi kwa kuwa na pembe nyingi kichwani
Mwanaume mmoja kutoka pwani ya Praia Grande karibu na São Paulo nchini #Brazili, Michel 'Diabao' Praddo (47) maarufu kama ‘Shetani wa Kibinadamu’ amevu...
03
Mbwa alamba dili kampuni ya magari
Mbwa mmoja aliyetambulika kwa jina la #TucsonPrime, ambaye hakuwa na makazi maalumu amepata ‘dili’ la kuwa mfanyakazi katika kampuni ya kuuza magari ya #Hyundai il...
15
Mama akimsimulia mwanaye mwenye ulemevu wa macho mechi inavyoenda
Unakumbuka hii mwaka 2019 mama mmoja aitwaye Silvia Grecco kutoka nchini Brazil alijizolea umaarufu baada kamera kumnasa akimsimuli mwanaye mwenye ulemavu wa macho mechi iliyo...
29
Chanzo kifo cha shabiki, show ya Taylor
Baada ya uchunguzi kufanyika kuhusiana na kifo cha shabiki kilichotokea katika show ya mwanamuziki #TaylorSwift nchini #Brazil imebainika kuwa shabiki h...
29
Muandaaji maudhui youtube auawa, mwili wakutwa kwa ex wake
Muandaaji wa content kupitia mtandao wa YouTube aitwaye Paulo Cezar Goulart Siqueira (PC) kutoka nchini Brazil anadaiwa kuuawa kisha mwili wake kukutwa kwa mpenzi wake wa zama...

Latest Post