Mtangazaji na mfanyabiashara Marekani Paris Hilton amerudi kwenye nyumba yake iliyoharibika vibaya na moto ulioteketeza makazi ya watu katika Milima ya Hollywood, California.H...
Mwanamichezo wa zamani ambaye pia alikuwa mwigizaji kutoka nchini Marekani Orenthal James Simpson maarufu kama O. J. Simpson amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76, baada y...
Mwanamuziki na mwanamitindo kutoka nchini Marekani Kanye West amemfunguliwa mashitaka na shabiki aitwaye Justin Poplawski (40) na kudai kuwa alishambuliwa na msanii huyo mwaka...
Hatimaye ‘Rapa’ Tory Lanez week hii amefikishwa gerezani kwa ajili ya kutumikia kifungo cha miaka 10 kwa kosa la kumpiga risasi aliyekuwa mpenzi wake Megan Three S...
Ebane! Huko majuu kumenoga hatari famasiala na mapenzi wewe, bwana baada ya kusitisha uhusiano wao wiki chache zilizopita, wasanii kutoka Marekani Avril Lavigne na Tyga waunga...
Ebwana!! Kila uchwao mambo yanazidi kuwa mengi muda nao ni mchache haya sasa wakati mtoto wako wa miaka 14 anajiandaa kwenda Shule basi kuna mvulana wa miaka hiyo nchini Marek...
Rapa kutoka nchini Canada Tory Lanez amekutwa na hatia ya mashtaka matatu ya uhalifu kwa kumpiga risasi Megan Thee Stallion, waendesha mashtaka wamependekeza kifungo cha miaka...
Mwanariadha kutoka nchini Marekani Jim Hines, mwanariadha wa kwanza kukimbia mbio za mita 100 chini ya sekunde 10, amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 76.
Alivunja rekodi h...
Kaka wa Marehemu Paul Walker, Cody Walker yeye na mke wake wameamua kumuenzi Staa huyo wa Filamu aliefariki katika ajali ya Gari November 30, 2013, huko Valencia, Sa...
Mwanamume mmoja kutoka nchini California aliefahamika kwa jina la Casey Rivara amefariki baada ya kugongwa na gari ambapo alionekana akisaidia bata kuvuka barabara muda mfupi ...
Na Asha Charles
Hahahah! Make hapa kwanza ncheke, ama kweli hali ngumu basi bwana unaambiwa bibi aliejuliakana kwa jina la Bonnie Gooch mwenye umri wa miaka 78, ameshtakiwa kw...