Gemu ya Hip-hop Tanzania kwa sasa ina majina mengi ya wasanii wanaofanya vizuri hususani wa kizazi kipya ambao kwa pamoja wanaitwa 'New Generation Ya Rap' hapo utakutana na ki...
Miongoni mwa nyimbo kubwa za Bob Marley ni pamoja na hii ya ‘No Woman No Cry’ iliyotoka 1974 ikiwa moja ya ngoma zinazo patikana kwenye album yake ya Natty Dread.K...
Rapa Malume Centrozone ameendelea kuwatambia rapa wenzake kutokana na mapokezi ambayo amekuwa akipata kila apandapo jukwaani na Country Wizzy ambaye wanaunda kundi la Moco.Map...
Na Masoud ShafiiMuziki kama tasnia nyingine umekuwa na mashabiki na wafuasi kwa wasanii, kwa mujibu wa wasanii wenyewe wamekuwa wakitoa maana ya maneno hayo mawili kwa kulinga...
Na Glorian Sulle
Ni kweli suala la mitindo na fasheni ni marudio ya vile vilivyopita , katika kutafuta mitindo mipya kuna wale wanaogeuza matumizi ya mavazi au mitindo h...
Ikiwa zimetimia siku 11 tangu mkali wa Hip hop Marekani, Sean Combs 'Diddy' ashikiliwe na polisi kwa makosa matatu, mojawapo likiwa la biashara ya ngono, hatimaye mwanasheria ...
‘Rapa’ 50 Cent anadai kuwa msanii Kendrick Lamar, amestahili kuchaguliwa kuongoza show ya Super Bowl Halftime inayotarajiwa kufanyika Februari mwaka 2025 jijini Ne...
Mwanamuziki wa Marekani 50 Cent amefunguka kuhusiana na suala lake la useja (kuwa single) huku akiweka wazi kuwa amefanya makosa mengi sana lakini hajafikiria kufanya kosa la ...
Mwanamuziki wa Marekani 50 Cent ameweka wazi sababu ya kutokuwa na meneja hadi leo, huku akidai kuwa ni kheri kutoa kiasi kikubwa kwa mawakili kuliko kutoa pesa zake kwa ajili...
‘Rapa’ kutoka Marekani 50 Cent amefurahia kushinda kesi iliyokuwa ikimtaka kulipa Sh 2.6 Trillioni hii ni baada ya kudaiwa kuiba stori ya muuza madawa ya kulevya a...
Mkali wa Hip-hop Marekani 50 Cent, aonekana kufurahishwa na video inayosambaa mitandaoni ikimuonesha ‘rapa’ Rick Ross akishambuliwa nchini Canada.
Kupitia ukurasa ...
Shule ya ‘Vernon Center Middle School’ iliyopo jijini Manchester imekubali kulipa fidia ya dola 100,000 ikiwa ni zaidi ya Sh 263 milioni baada ya mwanafunzi wa shu...
Filamu iliyoandaliwa na 50 Cent kuhusu madai ya unyanyasaji wa kingono yanayomkabili Diddy, iitwayo ‘Diddy Do It?’ inatarajiwa kuoneshwa katika mtandao wa Netflix ...
Baada ya washukiwa watano kati ya saba wanaohusishwa kuhusika na kifo cha ‘rapa’ Kiernan Forbes maarufu AKA kuomba dhamana mwezi uliyopita, na sasa dhamana hiyo im...