Mwanamuziki Jose Chameleone ametoa shukrani kwa mashabiki wake, marafiki, na serikali ya Uganda kwa kumuunga mkono na kuwa pamoja naye wakati akipambania afya yake. Chameleone...
Mwanamuziki wa Uganda Jose Chameleone leo Februari 19,2025 anatarajia kufanyiwa upasuaji wa kongosho nchini Marekani katika Hospitali ya Allina Health Mercy iliyopo Coon Rapid...
Marcus Abba anashtumiwa na baba yake mkubwa, Douglas Mayanja 'Weasel' ambaye pia ni mwanamuziki kwa kumkosoa baba yake mzazi, Jose Chameleone kutokana na mtindo wake wa maisha...
Nyota wa muziki Uganda Joseph Mayanja 'Jose Chameleone' ambaye kwa sasa anasumbuliwa na maradhi ya kongosho, jana Desemba 23, 2024, alitolewa kwenye hospitali ya Nakasero jiji...
Mtoto wa kwanza wa msanii Jose Chameleon, Abba Marcus ameweka wazi kuwa baba yake anasumbuliwa na maradhi ya kongosho (Acute Pancreatitis) iliyosababishwa na uraibu wa pombe k...
Mwanamuziki kutoka Uganda Joseph Mayanja maarufu Jose Chameleone amefunguka siri ya mafanikio yake yanayomfanya andelee kukubalika katika tasnia ya muziki kwa kuweka wazi kuwa...