Kwa mujibu wa utafiti uliyochapishwa katika tovuti ya ‘Research Gate’ umebaini kuwa watu wanaotembea haraka wanaviwango vya chini vya furaha.Hata hivyo kulingana n...
Kampuni ya urembo kutoka Uhispania ya Balenciaga imezindua viatu viitwavyo ‘Zero’ ambacho ni mahususai kwa ajili ya kutumika katika msimu wa vuli mwaka 2025. Viatu...
Wakati wimbo wa mwanamuziki Zuchu aliomshirikisha Diamond ‘Wale Wale’ ukiendelea kufanya vizuri kwenye mitandao ya kusikiliza muziki huku ukishika nafasi ya tatu k...
Niaje niaje matajiri wangu, kama kawaida kila wiki tunakutana kwenye chimbo letu la Biashara ambapo tunafundishana mambo mbalimbali kuhusiana na biashara, ujasiriamali nk.
Na ...
Msanii wa Hip Hop, Chid Benz amesema ameamua kutembea kwa miguu kutokana na madereva wengi wa bodaboda kuogopa kumbeba wakidhani hatawalipa nauli zao.Chid ambaye aliwahi kutam...
Wasanii wa filamu Tanzania wamewasili Korea kwenye ziara yao ya kujifunza mambo ya filamu.
Baadhi ya mastaa wa filamu ambao wapo kwenye ziara hiyo ni Irene Paul, Wema Sepetu, ...
Tanzania imeendelea kuwa kivutio cha watalii kuja kupumzika na kutembelea vituo vilivyopo, hii ni baada ya kiungo wa Manchester United na timu ya taifa Morocco, Sofyan Amrabat...
Bondia Deontay Wilder bado ameendelea kuwa kimya juu ya hatma yake kwenye masumbwi tangu alipoahidi endapo atachapwa na Zhilei Zhang, nchini Saudi Arabia, atastaafu.
Wilder al...
Rais wa klabu bingwa Tanzania Bara #YangaSC Mhandisi Hersi Said amempokea mgeni wake #AchrafHakimi katika Uwanja wa Kimataifa wa Kilimanjaro ‘KIA’.
Mchezaji huyu b...
PosKampuni ya Wanamitindo ya ‘Members Only’, imefungua kesi dhidi ya kampuni ya Drake, ‘Away From Home Touring Inc’, katika mahakama ya shirikisho ya N...
Mcharazaji gitaa maarufu nchini aliyewahi kuzipigia bendi mbalimbali ndani na nje ya nchi, ikiwemo Extra Bongo '3x3', Ismail Kwembe a.k.a Bonzo Kwembe, amefariki dunia leo.Aki...
Mwanaume mmoja kutoka nchini #Urusi aliyefahamika kwa jina la Dennis Vashurin mwenye umri wa miaka 36 imemlazimu kutembea na cheti chake cha kuzaliwa kwasababu ya kuthibitisha...
Baada ya kufunga ndoa usiku wa kuamkia leo na mpenzi wake Jembe One, mfanyabiashara na dada wa mwanamuziki Diamond, Esma Platnumz ameeleza kuwa ndoa hiyo ndio itakuwa ndoa yak...