Rapa Sean 'Diddy' Combs anakabiliwa na mashtaka mapya ya biashara ya kuuza binadamu na unyanyasaji wa kingono baada ya Joseph Manzaro kudai alifanyiwa unyanyasaji na rapa huyo...
Mwanamuziki Fareed Kubanda (Fid Q) amewapa nafasi mashabiki wake kuchagua ngoma yake ipi aimbe Mei 2, 2025 atakapopanda kwenye jukwaa la Bongo Fleva Honors. Fid Q atafanya sho...
Ni wazi kuwa mwanamitindo Hamisa Mobetto amegeuka mwalimu wa lugha kwa mumewe Stephanie Azizi Ki. Hiyo ni baada ya nyota huyo wa soka kuweka wazi kuwa amekuwa akifundishwa kis...
Michel Lotito maarufu Monsieur Mangetout ‘Bwana mla kila kitu’ kutoka Ufaransa aliingia katika kitabu cha Rekodi ya dunia Guinness, baada ya kuweka rekodi ya mtu a...
Takribani miezi mitatu sasa watumiaji wa mitandao ya kijamii nchini Tanzania hususani TikTok na Instagram wamekuwa wakitumia wimbo wa ‘Halali’ katika machapisho ya...
Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya Firauni, kutana na mwanaume kutoka India aitwaye Mahant Amar Bharati Ji ambaye amenyanyua mkono wake wa kulia juu kwa zaidi ya miongo minne (k...
Mehran Karimi Nasseri, raia kutoka Iran aliwavutia wengi baada ya kuishi katika Uwanja wa Ndege wa Charles de Gaulle, uliopo jijini Paris kwa zaidi ya miaka 18.Mwaka 1988, Nas...
Kampuni ya ‘Paul Dalton's Miracle Detail’ inatajwa kuwa ndio kampuni yenye gharama zaidi duniani katika uoshaji wa magari. Huku ikitumia dola 15,000 ikiwa ni zaidi...
Usiku wa kuamkia leo supastaa wa Nigeria, Burna Boy amefanya onyesho la muziki ambalo limeacha historia katika mji wa Nairobi nchini Kenya. Tamasha hilo ambalo lilitawaliwa na...
Zimebaki siku kadhaa kuingia mwezi Mtukufu wa Ramadhan. Mwezi ambao hupambwa kwa swala na nyimbo mbalimbali za Kaswida. Ni ngumu mwezi huo kumalizika bila kusikia wimbo uitwao...
LEORNADO ATAMBA BAADA YA KUSHINDA TUZO Baada ya mchekeshaji Leornado kushinda tuzo ya 'Overall Best Comedian of the year' kupitia tuzo za Tanzania Comedy Award, ambazo zilitol...
Marilyn vos Savant (78) mwandishi na mtaalamu wa kujibu maswali kwa ufasaha kutoka Marekani anatajwa kuwa ndiye mwanamke mwenye akili zaidi duniani kutokana na uwezo wake wa k...
Na Michael ANDERSON
Wasomi mambo vipi pande za vyuoni? tunakaribia kuanza paper la UE nafahamu tunazima moto kwa energy ya kutosha kuhakikisha SUP haitupati.
Wiki hii nakulet...
Kama tunavyojua ujauzito unapo haribika tumboni basi litachukuliwa jukumu la kusafisha na kuacha tumbo likiwa salama, lakini hii imekuwa tofauti kwa mwanamama mmoja kutoka Chi...