Muigizaji Maarufu kutoka Marekani 'Djimon Hounsou' amweka wazi hali ya chumi na kutothaminiwa kwenye tasnia ya filamu Hollywood baada ya kufanya mahojiano na CNN nakufichua ku...
Rais Joe Biden amemtunuku mwigizaji Denzel Washington heshima ya juu kabisa ya uraia kwa medali ya Uhuru wa chini hapo jana katika Ikulu ya White House nhini Marekani. Medali ...
Moja ya filamu ambayo katika msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka huchuka nafasi kubwa katika maisha ya watu ni ‘Home Alone’.Ufuatiliwaji wa filamu hiyo kila mwaka ...
Mwigizaji wa Hong Kong Jackie Chan ametangaza nia ya kuchangia utajiri wake wote, unaokadiriwa kufikia dola 400 milioni 'Sh 966 bilioni', kama msaada kwa watu wenye uhitaji.Mw...
Mwigizaji wa Hollywood Denzel Washington amebatizwa rasmi Desemba 21, 2024 katika Kanisa la Kelly Temple of God in Christ lililopo kitongoji cha Harlem jijini New York, Mareka...
Point of no Return ni filamu, kuna pisi kali ilionekana humo. Ina sauti laini na mvuto wa asili uliovutia wengi. Kubwa zaidi ni ubora wake katika kutendea haki 'sini' na 'skri...