Mtangazaji na mfanyabiashara Marekani Paris Hilton amerudi kwenye nyumba yake iliyoharibika vibaya na moto ulioteketeza makazi ya watu katika Milima ya Hollywood, California.H...
Miongoni mwa nyimbo kubwa za Bob Marley ni pamoja na hii ya ‘No Woman No Cry’ iliyotoka 1974 ikiwa moja ya ngoma zinazo patikana kwenye album yake ya Natty Dread.K...
Mwanamuziki wa Marekani Selena Gomez na Mpenzi wake Benny Blanco wametangaza kuchumbiana baada ya kuwa kwenye mahusiano kwa zaidi ya mwaka mmoja.Selena Gomezi mwenye umri wa m...
Jarida la Forbes limetoa orodha ya wasanii bora wa hip-hop wa muda wote huku jina la Kendrick likitokea kama msanii wa pili kwenye orodha hiyo.Orodha hiyo ambayo ilikuwa imesh...
Kibongo Bongo kuomba chumvi au kiungo chochote wakati wa chakula kwa lengo la kuongeza radha jambo hilo huchukuliwa la kawaida na halina shida yoyote, lakini unapoingia nchini...
Mwanamuziki wa Bongofleva, Gift Stanford ‘Gig Money’, ambaye hivi karibuni alikutana na majanga ya kudukulia akaunti yake ya YouTube akizungumza na Mwananchi Scoop...
Mwananmuziki kutoka Marekani Clifford Joseph Harris ‘T.I’ alikamatwa na polisi katika uwanja wa Ndege wa Atlanta ‘Hartsfield-Jackson’ baada ya utambuli...
Mwanamieleka wa Marekani John Cena ametangaza kustaafu kushiriki mashindano ya World Wrestling Entertainment (WWE) usiku wa kuamkia leo.
Kwa mujibu wa tovuti ya Forbes Cena am...
Marehemu mwigizaji kutoka Nigeria John Okafor (62) maarufu Mr Ibu ambaye alifariki Machi 2, 2024 tayari amezikwa katika mji aliozaliwa wa #Amuri, Jimbo la #Enugu nchini humo.I...
Wake wawili wa marehemu mwigizaji Mr Ibu, Ifeyinwa Okafor na Stella-Maris Okafor wamehudhuria msibani kwa mume wao licha ya kutokuwa na maelewano mazuri kwa muda mrefu.Kwa muj...
Marehemu mwigizaji kutoka nchini #Nigeria John Okafor (62) maarufu Mr Ibu anatarajia kuzikwa leo Juni 28, 2024 katika mji aliozaliwa wa #Amuri, Jimbo la #Enugu.Mr Ibu alifarik...
Mshambuliaji wa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, #MarcusRashford ameripotiwa kuweka wazi mipango yake baada ya kuwepo kwa tetesi za kuondoka katika ‘timu’...
Ikiwa zimepita siku chache tuu tangu mwanamuzika wa Marekani, Justin Timberlake kukamatwa na polisi akiwa amelewa, msanii huyo ametumbuiza kwa mara ya kwanza katika tamasha la...
Mwanamuziki Travis Scott ameripotiwa kuachiwa huru kwa dhamana, baada ya kukamatwa siku ya Jana Alhamis asubuhi kwa kosa la ulevi kupindukia.Kwa mujibu wa tovuti ya Cnn, Travi...