Mwananmuziki na mtangazaji Baba Levo amekikubali kipaji cha msanii na mwigizaji Rose Ndauka huku akimtabiria kufika mbali zaidi.Kupitia ukurasa wa Instagram wa Baba Levo amemp...
Baada ya msanii wa maigizo Rose Ndauka kuachia Ep yake ya Majibu Rahisi mwezi Disemba, 2024 nakupokea maoni mengi ya kumkatisha tamaa, Msanii na Mtangazaji Frida Amani amekuja...