10
Squid Game Msimu Wa Pili Yaendelea Kuweka Rekodi
Filamu ya Squid Game msimu wa pili inayooneshwa kupitia Netflix imeendelea kukusanya rekodi na sasa imetajwa kuwa ndio filamu iliyofuatiliwa zaidi na watu wasiotumia lugha ya ...
04
Squid Game Msimu Wa 3 Kutoka June 2025
Baada ya filamu ya Squid Game Msimu wa 2 kufanya vizuri na kupata rekodi za kutosha, hatimaye wasambazaji wa filamu hiyo Netflix wametangaza tarehe rasmi ya kuachia filamu hiy...
02
Thanos Bishoo Aliyevutia Wengi Squid Game 2
Uzuri au ubaya wa sanaa ya maigizo hubebwa na stori au wahusika wanaowasilisha maudhui katika kazi hiyo. Wakati mwingine wahusika huvaa uhalisia hadi kupelekea jamii kuamini n...
01
Jiandae Kupokea Squid Game Msimu Wa 3 Mwaka Huu
Baada ya Mfululizo wa msimu wa pili wa Squid Game kufanya vizuri mara tu baada ya kuachiwa, wasambazaji wakuu wa filamu hiyo Netflix wametangaza ujio wa Msimu wa 3 utakaotoka ...
30
Filamu Ya Squid Game Season 2 Yaweka Rekodi
Filamu maarufu inayokimbiza zaidi Duniani kote ya ‘Squid Game’ msimu wa pili imeripotiwa kuweka rekodi kwa kushika namba moja kwenye nchi zaidi ya 93.Kwa mujibu wa...
26
Squid Game msimu wa pili yaachiwa leo
Hatimaye filamu maarufu ya Korea Kusini iitwayo Squid Game msimu wa pili inaachiwa rasmi leo Desemba 26, 2024.Msimu huu mpya wa Squid Game unatarajiwa kumuonesha mshindi wa aw...
13
Mr Beast Amwaga Pesa Kujenga Mji
Mtengeneza maudhui kutoka nchini Marekani Mr Beast ambaye alijulikana zaidi kupitia mitandao ya kijamii baada ya kuzikwa akiwa hai kwa siku saba, ameripotiwa kuwekeza mpunga m...
27
Mshukiwa wa mauaji ya Tupac aomba kuachiwa huru
Mshukiwa wa mauaji ya ‘rapa’ kutoka Marekani Tupac Shakur, Duane “Keefe D” Davis, amewasilisha ombi la kuachiwa huru kutokana na kusumbuliwa na ugonjwa...
16
Squid Game 2 kutoka Desemba 2024
Mwigizaji na mtengenezaji wa filamu kutoka Korea Kusini, Lee Jung-jae ameweka wazi kuwa filamu ya Squid Game msimu wa pili inatarajiwa kuoneshwa kwa mara ya kwanza Desemba 202...
08
J.Cole ajuta kumuongelea vibaya Kedrick
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani J.Cole amemuomba msamaha Kendrick Lamara katika onesho la Dream Ville usiku wa kuamkia leo. Cole ameeleza kuwa anajuta kumuongelea vibaya &l...
02
Ray C awapa funzo wasanii Bongo
Mwanamziki Rehema Chalamila, maarufu kama Ray C ametoa fuzo kwa wasanii nchini Tanzania, kudumisha upendo ili kazi zao ziweze kufanya vizuri zaidi. Kupitia ukurasa wake wa mta...
31
Beyonce amwaga maua kwa Tyla
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, #Beyonce ameshindwa kujizuia kwa kumpongeza mwanamuziki kutoka Afrika Kusini, #Tyla kwa kutoa Album yake ya kwanza iitwayo “Tyla&rdqu...
15
Young Soo ahukumiwa kwenda jela miezi nane
Muigizaji maarufu kutoka nchini Korea Oh Young-soo, ambaye alijulikana zaidi kupitia filamu yake ya ‘Squid Game’ amekutwa na hatia kwenye kesi ya unyanyasaji wa ki...
30
Netflix yaachia reality show ya Squid Game
Kampuni ya #Netflix imeachia rasmi Squid Game the Challenge ambalo ni onesho la shindano la uhalisia lililohamasishwa na Tamthilia ya #Kikorea ya #SquidGame. Ambapo washiriki ...

Latest Post