Mchekeshaji Said Said amesema picha aliyopiga na Rais Samia Suluhu Hassan imempatia michongo mingi ambayo hakutarajia.Said ambaye kwa sasa ameweka picha hiyo kwenye billboard ...
Wakati baadhi ya wasanii wa vichekesho wakitoa maudhui mbalimbali yanayohusu Mwezi Mtukufu wa Ramadhan, wanazuoni wa dini hiyo wametoa angalizo la ujumbe na maadili katika kaz...
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini na bingwa wa mkanda wa WBO Afrika katika uzani wa middle, Hassan Mwakinyo anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga akituhumiwa kum-shamb...
Kutokana na sanaa ya upishi kuwa miongoni mwa mambo yanayoweza kukuza na kuendeleza utamaduni, utalii, na uchumi. Kufuatia madhimisho ya msimu wa tisa wa wiki ya Vyakula vya K...
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ametuma salamu za pole kutokana na kifo cha nguli wa muziki wa dansi Tanzania, Boniface Kikumbi maarufu King Kikii.Salamu hizo amezitoa k...
Msanii mkongwe wa Taarab nchini Tanzania, Mwanahawa Ally, ameamua kuacha kuimba kutokana na maradhi yanayomsumbua.Hayo yamebainishwa na Zamaradi Mketema wakati akizungum...
Afisa mkuu wa polisi Uganda, Jackson Mucunguzi, ameweka wazi kuwa Shakib Lutaaya anaweza kumfungulia kesi ya unyanyasaji wa kisaikolojia mke wake Zarinah Hassan ‘Zari&rs...
Hassan Michael maarufu kama ‘Hassan Gorila’ Mtanzania mwenye kipaji cha kuigiza miondoko ya Sokwe alia na baadhi ya watu kukejeli kipaji chake.Amesema kati ya chan...
Bondia wa ngumi za kulipwa nchini Hassan Mwakinyo ameeleza kuwa anajutia usingizi wake huku akidai hakuna ushindi wa namna ile, hii ni baada ya kushuhudia pambano la Twaha Kid...
Mwanaume mmoja aitwaye Hassan Khan (28) aliyekuwa safarini akitokea mapumziko ambaye pia ni Daktari ameingia kwenye vichwa vya habari katika televisheni mbalimbali baada ya ku...
Baada ya kuzuka sintofahamu kwa wanandoa Zari pamoja na mumewe Shakibi kuwa wameachana, wawili hao wamethibitisha kuwa wapo pamoja baada ya kuonekana Saudi Arabia.Kupitia ukur...
Kufuatiwa kutangazwa kwa kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Ali Hassan Mwinyi, mastaa mbalimbali wameoneshwa kuguswa na msiba ...
Aliyekuwa mume wa mfanyabiashara Zari Hassan, Shakibi Lutaaya anadaiwa kufungasha virago vyake na kurudi nchini Uganda.Hii inakuja baada ya kusambaa kwa stori kupitia mitandao...
Baada ya kudai kuwa anampango wa kufanya ‘kolabo’ na wasanii wa wakubwa Barani Africa ‘Rapa’ kutoka Marekani #RickRoss ameendelea kuonesha upendo wake ...