17
Hii Ndio Filamu Ya Kwanza Ya Tupac
Filmu iliyochezwa na marehemu mkali wa Hip Hop Marekani Tupac Shakur iitwayo ‘JUICE’ imetimiza miaka 33 ambapo ilitoka rasmi siku kama ya leo Januari 17 mwaka 1992...
15
Azizi Ki Apokea Zawadi Hii Kutoka Kwa Mobetto
Mchezaji wa klabu ya Yanga Stephane Aziz Ki ameshare zawadi aliyopatiwa na rafiki yake mwigizaji na mfanyabiashara Hamisa Mobetto.Kupitia ukurasa wa Instagram wa mchezaji huyo...
11
Ewe Muasherati, Faidika Na Hii
Hii ni kwa wale wenye ibilisi ndani yao. Wenye upako wa shetani wao. Anayewapa ujasiri wa kutoka na wake za watu. Tuwekane sawa ili usimuangushe huyo shetani wako wa kipekee. ...
09
Alikiba Aweka Rekodi Hii Kwenye Muziki Afrika
Alikiba ameweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza ambae sio Mnigeria kushinda Tuzo ya NXT Honours Life Time Archievement Award (Tuzo ya mafanikio ya maisha Afrika) ambapo kwa mi...
07
Hii ndio maana ya Olodumare ya Joel Lwaga
Baada ya kuwepo kwa minong’ono kwa baadhi ya watu kupitia mitandao ya kijamii ikidai kutoelewa jina la wimbo wa msanii wa Injili Joel Lwaga, ‘Olodumare’, hat...
22
Hii hapa maana ya jina la albumu ya Wizkid
Mwanamuziki wa Nigeria Wizkid ameandika historia nyingine katika tasnia ya muziki wa Afrobeats kwa kuachia albamu yake ya sita leo Novemba 22, 2024 iitwayo ‘Morayo&rsquo...
15
Hii hapa sababu ya kifo cha King Kikii
Joseph Silumbe ambaye ni mtoto wa marehemu msanii mkongwe wa muziki wa dansi Tanzania, Boniface Kikumbi maarufu 'King Kikii' amesema baba yake amefariki kwa maradhi ya sarat...
02
Hii hapa mikoba sahihi ya kwendea kazini
Na Glorian Sulle Katika dunia ya mambo ya kisasa, mikoba inachukua nafasi muhimu kama kipande cha kifaa au urembo unaongeza ufanisi na urembo. Swala hili, naongea na wananume ...
16
Hakuna S bila O, Vesi hii kila mtu alikariri
Mtazamo. Wimbo wa Afande Sele, na wale 'Bigi Mani' wenzake kwenye 'gemu'. Solo Thang Ulamaa na Prof. Jay The Heavy Weight Mc. Kilinuka sana humo ndani chini Producer Majani. N...
02
Leo siku ya bia duniani, mtaje rafiki yako ambaye unajua hakosi hii
Wanywaji wa bia nchini Tanzania, leo Ijumaa Agosti 2, 2024 wanaungana na wenzao duniani kuadhimisha Siku ya Kimataifa ya Bia inayo...
13
Arsenal, Calafiori ni suala la muda tu
Imeripotiwa kuwa, Arsenal inakaribia kufikia makubaliano ya kumnunua beki wa Italia na Klabu ya Bologna, Riccardo Calafiori. Aidha inaelezwa kuwa, Bologna imeweka dau la pauni...
11
Aliyekuwa kocha wa Mamelod atimkia Wydad
Aliyekuwa kocha wa klabu ya Mamelod Sundowns, Rulani Mokwena ameripotiwa kusaini mkataba wa miaka miwili kama kocha mkuu katika timu ya Wydad Casablanca. Inaelezwa kuwa Mokwen...
02
Baba wa Mohbad: Waliozaa na mwanangu wajitokeze
Baba mzazi wa marehemu mwanamuziki Mohbad, Joseph Aloba ametoa wito kwa wanawake ambao waliwahi kuzaa na Mohbad wajitokeze. Aloba ameyasema hayo kupitia video aliyoichapisha k...
20
Zuchu amwagia sifa Diamond, Amshukuru Chris Brown
Baada ya mwanamuziki wa Marekani Chris Brown ku-share video kupitia mtandao wake wa TikTok akicheza ngoma ya ‘Komasava’ ya Diamond, msanii Zuchu amemwagia sifa Sim...

Latest Post