02
50 Cent amcheka Rick Ross baada ya kushambuliwa Canada
Mkali wa Hip-hop Marekani 50 Cent, aonekana kufurahishwa na video inayosambaa mitandaoni ikimuonesha ‘rapa’ Rick Ross akishambuliwa nchini Canada. Kupitia ukurasa ...
13
Ruger: Naweza kupenda wanawake watano kwa wakati mmoja
Mwanamuziki wa Nigeria, Ruger amefunguka mtazamo wake kuhusu mahusiano  kwa kudai kuwa anaweza kupenda wanawake watano tofauti kwa wakati mmoja.  Ruger ameyasema hay...
29
Hersi: Usipokuwa na uelewa utasajili hovyo, Utatimua wachezaji kwa hisia
Rais wa Klabu ya #Yanga #HersiSaid amesema wakati wa usajili kama muhusika asipokuwa na uelewa kuhusu wachezaji anaweza kumsajili ...
24
Megan atuhumiwa kwa unyanyasaji wa kihisia
Mwanamuziki kutoka Marekani, #MeganTheeSTallion amefunguliwa mashitaka na aliyekuwa mpiga picha wake #EmilioGarcia kwa unyanyasaji wa kihisia na mazingira magumu ya kazi. Emil...
31
Kilichojificha nyuma ya nyimbo za Linex zenye hisia
Na Aisha Charles Sura yake imejaa hisia kali kuwasilisha anachomanisha, anapofumbua mdomo wake kuimba mashairi yanayosisimua moyo,  huku akifumba na kufumbua macho kusisi...
26
Mondi, Blue, Jay Melody wagusa hisia za Tale
Diamond, Mr Blue na Jay Melody wamkosha Babu Tale kwenye wimbo wao mpya uitwao 'Mapozi' uliachiwa saa kumi zilizopita. Kupitia post ya Diamond kwenye mtandao wa Instagram amba...
19
Shangwe la bibi yake Burna Boy baada ya kupewa zawadi
Tazama shangwe la bibi yake Burna Boy mzaa mama baada ya kupewa zawadi ya pochi ya thamani aina ya ‘Birkin bags’.  Tukio hili limeibua hisia nyingi kupitia mi...
28
Whozu: Nikifariki msisaha kuniongelea kama nilipendwa sana
Mwanamuziki wa #BongoFleva #Whozu ameweka hisia zake hadharani kwamba anapendwa sana na mpenzi wake #WemaSepetu amesema endapo akifariki katika wosia wake watu wasisahau kumuo...
01
Namna ya kurudisha hisia za mapenzi zilizo potea
Hellow! Haya kama kawaida yetu kuwaletea vitu konki kuhusiana na maswala mazima ya ndoa na mahusiano, sasa leo tumekuja kuzungumza na nyie kuhusiana na tatizo ambalo wanakumba...
13
Usalama wa hisia kwa mwanamke katika mahusiano
Hivi ushawahi sikia mwanaume anasema huyu mwanamke nimempa kila kitu, pesa, nyumba, magari lakini bado simuelewi. (hajajua njia sahihi za kulinda hisia za mkewe) Au ushawahi s...

Latest Post