Duane “Keefe D” Davis, ambaye ni mshukiwa namba moja wa mauaji ya mwanamuziki wa Hip-Hop Tupac Shakur, ameanza mchakato wa kufutiwa mashtaka dhidi yake akida kuche...
Rapa Drake ameripotiwa kuishitaki mitandao ya kuuzia muziki Universal Music Group (UMG) na Spotify kufuatia na wimbo wa Kendrick Lamar.Kwa mujibu wa Billboard, Drake amechukua...
Kuna methali isemayo mdharau mwiba mguu huota tende msemo huu umesadiki katika baadhi ya biashara ambazo watu wengi wamekuwa wakizichukulia poa lakini ndiyo hizo hizo ambazo z...
Msanii wa Bongo Fleva, Emmanuel Elibariki, maarufu kama Nay Wa Mitego, ameshitakiwa na Baraza la Sanaa la Taifa (Basata) kwa makosa manne yanayohusiana na wimbo wake wa &lsquo...
Mwanamuziki wa Kenya Teddy Kalanda Harrison ambaye alipata umaarufu kupitia wimbo wa ‘Hakuna matata/Jambo bwana’ amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 72.Taarifa ...
Mkali wa ngoma ya ‘Live Your Life’, T.I na mkewe Tinny Harris wameripotiwa kufutiwa mashitaka yaliyokuwa yakiwakabili ya unyanyasaji wa kingono waliyoyafanya mwaka...
Mchezaji wa ‘klabu’ ya PSG Ashraf Hakimi ambaye yupo Tanzania kwa ajili ya mapumziko na kutembelea vivutio mbali mbali vya utalii, kupitia taasisi yake ya ‘A...
Mwanamke mmoja kutoka New Zealand, aliyetambulika kwa jina la CL amemshitaki mpenzi wake wa zamani kwa kushindwa kumpeleka (kumsindikiza) uwanja wa ndege wakati wa kusafiri.Kw...
Mkali wa Afrobeats kutoka Nigeria, #Davido amemshitaki mama watoto wake aitwaye Sophia Momodu, kwa kwa kudai huduma ya malezi iiliyopitiliza ya binti yake wa kwanza, aitwaye I...
Mfanyabiashara wa Uingereza aliyefahamika kwa jina la Richard ameripotiwa kuishitaki kampuni ya simu za Iphone, hii ni baada ya kampuni hiyo kurudisha ‘meseji’ zil...
Wimbo wa marehemu Tupac Shakur uitwao ‘Hit Em Up’ umetajwa na Billboard kuwa ndiyo wimbo bora wa muda wote huku ukishika nafasi ya kwanza katika tovuti hiyo.Kwa mu...
Kundi la zamani la New Orleans limewashitaki wanamuziki Beyonce, Jay-Z na Big Freedia kwa ukiukwaji wa hakimiliki kutoka katika wimbo wa Beyonce wa ‘Break My Soul’...
Mwigizaji na mtayarishaji wa muziki Marekani Questlove, amedai kuwa hakuwahi kuwa shabiki wa marehemu mwanamuziki Tupac wala kuikubali ngoma yake iitwayo ‘Hit Em Up&rsqu...