Kelvin KagamboUkitaja wasanii watano wakubwa wa kuimba Tanzania wanawake wapo. Ukitaja waigizaji wakubwa wa filamu Tanzania wanawake wapo.Ukitaja madairekta wakubwa wa michezo...
Katika ulimwengu wa fasheni, kuna dhambi za fasheni ambazo zinajitokeza wakati wa uchaguzi wa bidhaa mbalimbali za kunogesha mwonekano wako. Dhambi hizo zipo hata kwenye upand...
Maisha yanachangamoto zake, na siyo kila tajiri au mtu maarufu alizaliwa katika mazingira hayo. Wengi wao walianza kujitafuta chini lakini sasa wameuteka ulimwengu kwa majina ...
Inafahamika kuwa kiwanda cha muziki wa Hip-hop Bongo kina wasanii wachache. Lakini ni gumu kuwataja waliopo na kuliacha jina Frida Amani, ambaye ni miongoni ...
Katika historia, zamani baadhi ya nchi zilikuwa na sheria kali dhidi ya mtu ‘Mmbea’ (watu waliokuwa wakisambaza na kuzungumza taarifa zisizo za kweli au zisizowahu...
Kampuni ya utengenezaji na usambazaji wa filamu kutoka Marekani, Marvel Studios imeshusha orodha ya filamu ambazo zitaachiwa mwaka 2025.Kupitia tovuti ya Marvel wametangaza ku...
Mtandao unaokubalika zaidi duniani kote wa WhatsApp umetangaza kuacha kufanya kazi katika simu za zamani za Android ambazo hazipati Updates za mfumo mpya unaofanyika kila mwak...
Tasnia ya muziki wa Bongo Fleva imejaa vipaji vingi kutoka kwa wasanii tofauti tofauti, ambao kila mmoja alifanikiwa kutoka kwa wakati wake. Katika hao wapo ambao walianza muz...
Peter Akaro
Usiku wa kuamkia leo katika ukumbi wa Peacock huko Los Angeles, Calfornia nchini Marekani kumetolewa tuzo za BET 2024 ambapo Usher Raymond IV na Tyla ndio mastaa w...
Baadhi ya wanawake na wanaume wengi wanapenda kupendeza, ndiyo sababu hujitahidi kufanya mambo mbalimbali ikiwemo kutunza ngozi zao, nywele na kuvaa mapambo na mavazi ya kuvut...
Pisi Kali hanywi pombe kali wala ngumu. Anakunywa pombe laini tena zisizozidi chupa tatu kwa wikiendi tu. Siku za kawaida pisi kali hagusi pombe wala hana outing. Pisi kali ak...
Kama inavyofahamika kuwa suala la ajira, limekuwa janga la Taifa, asilimia kubwa ya wahitimu wamekuwa wakilia nalo. Waswahili wanasema uoga wako ndiyo umasikini wako, na hili ...
Familia maarufu kutoka nchini Marekani ‘Kardashian Family’ licha ya kupata umaarufu katika ‘Reality show’ yao lakini pia imepata mafanikio makubwa kati...
Kanali Mubarak Saeed, Mkuu wa Kitengo cha Doria cha Polisi wa Watalii nchini Dubai, amewakabidhi polisi nchini humo magari yenye kasi zaidi ambayo yatabeba watalii wanaoelekea...