Peter AkaroMsanii wa Hip Hip Bongo na Mwanasiasa kwa sasa, Joseph Mbilinyi 'Mr. II 'Sugu' alitoka rasmi kimuziki mwaka 1993, hivyo ana miaka 32 katika tasnia ambayo anajivunia...
Mwanamuziki wa Hip-hop nchini Bando Mc ameweka wazi kuwa wapo mastaa wakubwa ambao waliwahi kumtumia kabla hajajipata katika muziki.Akizungumza na Mwananchi Scoop amesema alip...
Kelvin KagamboSina lengo la kumshushia mtu heshima ukweli mchungu ni lazima usemwe. Wasanii wa hip hop wa Tanzania ni vichwa kuliko wanaofanya muziki wa kuimba a.k.a wasanii w...
Kelvin KagamboUkitaja wasanii watano wakubwa wa kuimba Tanzania wanawake wapo. Ukitaja waigizaji wakubwa wa filamu Tanzania wanawake wapo.Ukitaja madairekta wakubwa wa michezo...
Usiku wa kuamkia leo zimegawiwa Tuzo za Iheart Radio Music Award, zilizofanyika katika ukumbi wa Dolby Theatre, Los Angeles Marekani zikiongozwa na mshereheshaji LL Cool J. Hu...
Unaweza kusema mwigizaji Joice Mbaga ‘Nicole Berry’ alikuwa na kiu ya kutumia mitandao ya kijamii. Hii ni baada ya kutupia zaidi ya machapisho 10 kwenye ukurasa wa...
Mtandao wa kuuza na kusikiliza muziki Spotify imeripotiwa kuwalipa wasanii kiasi cha dola 10 bilioni ikiwa ni zaidi ya Sh 26.5 Trilioni kwa wasanii duniani kote. Huku kiwango ...
Ikiwa leo ni Alhamisi, kwenye 'Tbt', tukumbushane chimbuko la muziki wa Bongofleva ambalo limekuwa likizua mijadala mara kwa mara.Muziki huo ulianza mwanzoni mwa miaka ya 1990...
Mwanamuziki wa K-Pop kutoka Korea Kusini, Wheesung, anaripotiwa kukutwa amefariki nyumbani kwake jana Jumatatu Machi 11, 2025. Huku polisi wakichunguza sababu ya kifo chake am...
Msanii wa R&B kutokea Marekani, Shaffer Chimere Smith maarufu kama Ne-Yo amethibitisha kuwa yuko kwenye mahusiano ya kimapenzi na wanawake wengi akiwatambulisha wanawake z...
Mkali wa Afrobeat, Davido ameripotiwa kuwa msanii pekee kutoka Afrika kutajwa katika orodha ya muziki ya Mfalme Charles III.Akishirikiana na Apple Music, Mfalme Charles III al...
Mojawapo ya sababu kuu zinazochochea ukuaji wa muziki wa Afrika katika soko la kimataifa inatajwa kuwa ni ushirikiano ‘kolabo’ kati ya wasanii wenyewe kwa wenyewe ...
Rapa wa Canada, Tory Lanez ametangaza ujio wa album yake ya 'Peterson' inayotarajiwa kutoka March 7, 2025 aliyoiandaa akiwa gerezani. Licha ya kufungwa kwake, Lanez anaendelea...
Nyota wa muziki nchini Naseeb Abdul 'Diamond Platnumz' amesema atawasaini kwenye rekodi lebo ya WCB, waliokuwa washiriki wa mashindano ya kusaka vipaji (BSS) Moses Luka (DRC) ...