Rais Joe Biden amemtunuku mwigizaji Denzel Washington heshima ya juu kabisa ya uraia kwa medali ya Uhuru wa chini hapo jana katika Ikulu ya White House nhini Marekani. Medali ...
Mgombea wa kiti cha urais nchini Marekani Donald Trump ameripotiwa kutumia picha ya Taylor Swift iliyotengenezwa na akili bandia kuhimiza watu kumuunga mkono katika uchaguzi u...
‘Rapa’ kutoka Marekani Cardi B amedai kuwa hatapiga kura katika uchaguzi ujao nchini humo huku akimkataa Rais Joe Biden na mpinzani wake Donald Trump.Cardi akiwa k...
Mtoto wa Rais wa Marekani, Hunter Biden mwenye umri wa miaka 53, siku ya jana Jumanne alifikia makubaliano na Idara ya Sheria kwa kukiri mashtaka matatu ya kukwepa kulipa kodi...
Ikulu ya Marekani ‘White House’ imesema kuwa Rais Joe Biden yuko sawa baada ya kujikwaa na kuanguka jukwaani alipokuwa kwenye sherehe za kuhitimu Chuo cha Jeshi la...
Rais wa Marekani, Joe Biden, ameagiza wizara ya uchukuzi kuandika kanuni mpya zitakazo yalazimu mashirika yote ya ndege kugharamia chakula na malazi ikiwa kwa uchelewaji au ug...
Rais wa Marekani Joe Biden amempongeza kiongozi mpya wa benki ya dunia Biden Ajay Banga siku ya jumatano kuwa ni kiongozi mwanamageuzi
Rais ambaye atajumuisha mabadiliko ya ha...
Rais wa marekani Joe Biden ameidhinisha kupelekwa kwa msaada wa dharura katika jimbo la New York kufuatia dhoruba kali ya theluji iliosababisha vifo vya zaidi ya 27 huku wengi...