15
S2KIZZY ageukia kwenye Taarabu
Mtayarishaji wa muziki nchini S2kizzy ameweka wazi juu ya uwepo wa kazi na Malkia wa Muziki wa Taarab Khadija Kopa.Zombie amechapisha video kwenye ukurasa wake wa Instagram ak...
21
Zuhura kabla ya kuwa Zuchu, alipita kwenye msoto mkali
Mauzauza, Ashua, Hakuna Kulala, raha na Wana ni baadhi ya nyimbo za mwanamuziki wa WCB Zuchu zilizomtambulisha kwenye gemu mwaka 2020 baada ya kutambulishwa kwenye lebo hiyo y...
10
Mwijaku: Mumkumbushe Zuchu kutumie pesa zake kuniangamiza
Akizungumza na waandishi wa habari DC wa Instagram #Mwijaku amedai kuwa baada ya kukutana na Bi Khadija Kopa na kuyamaliza yaliyokuwa yanaendelea mitandaoni baada ya kumkosea ...
22
Zuchu: japo kuwa namchuna kang’ang’ania
Huwenda mwanamuziki @officialzuchu , anakaribia kutoa wimbo mpya, kutokana na kionjo cha maneno ambacho ame-share kama caption kwenye picha aliyo-post katika ukurasa wake wa #...
26
Dada wa kazi amshtaki bosi kwa kutomlipa mshahara miaka 5
Msichana wa kazi za ndani (house girl) aliefahamika kwa jina la Zuhura Ramadhani mwenye umri wa miaka 30, amemshtaki bosi wake Khadija Katusi Muoza katika Serikali ya Mtaa ya ...
07
Khadija Kopa awataka mastaa kujikita katika shughuli za kijamii
Na Asha CharlesStaa wa muziki wa Taarabu nchini, Khadija Kopa amefunguka na kuwataka wasanii wenzake waweze kujikita katika shughuli za kijamii. Akizungumza na moja ya chombo ...
20
Khadija Kopa apewa tuzo ya mwanamke wa shoka
Mkongwe wa muziki wa Taarabu nchini Tanzania, Khadija Kopa amepewa tuzo ya Mwanamke wa Shoka kwenye sanaa yake ya muziki. Tuzo hiyo alipatiwa kufuatiwa na kongamano la si...
28
Khadija Kopa: Zuchu hata kwa Msahafu Naozesha
Ohoo! Hii ni kubwa kuliko ambapo Malkia wa mipasho nchini Tanzania Khadija Kopa ametoa taarifa  za mtoto wake kuhusishwa kuwa na mahusiano na msanii Diamond platnumz. Kup...

Latest Post