Mawakili wa utetezi wa Diddy wametoa hati mpya Mahakamani ya kupinga madai ya kuwa video zinazomuhusu rapa huyo na aliyekuwa mpenzi wake Cassie Ventura kuwa zilirekodiwa kwa k...
Filamu ya Squid Game msimu wa pili inayooneshwa kupitia Netflix imeendelea kukusanya rekodi na sasa imetajwa kuwa ndio filamu iliyofuatiliwa zaidi na watu wasiotumia lugha ya ...
Alikiba ameweka rekodi ya kuwa msanii wa kwanza ambae sio Mnigeria kushinda Tuzo ya NXT Honours Life Time Archievement Award (Tuzo ya mafanikio ya maisha Afrika) ambapo kwa mi...
Filamu maarufu inayokimbiza zaidi Duniani kote ya ‘Squid Game’ msimu wa pili imeripotiwa kuweka rekodi kwa kushika namba moja kwenye nchi zaidi ya 93.Kwa mujibu wa...
Mwanamke mmoja kutoka Canada mwenye umri wa miaka 60 aitwaye DonnaJean Wilde, ameweka rekodi ya dunia kwa kupiga push-up nyingi zaidi ndani ya saa moja.Kwa mujibu wa kitabu ch...
Ikiwa leo ni siku ya kumbukizi ya kuzaliwa kwa mwanamuziki Zuchu akitimiza miaka 31 yapo mengi ambayo yamemgusa katika tasnia yake, lakini kwa kawaida mambo haya mawili tunawe...
Mwendelezo wa filamu maarufu ya ‘28 Days Later’ inayotarajiwa kutoka mwaka 2025 imeripotiwa kurekodiwa kwa kutumia simu ya Iphone 15 jambo ambalo limefanya mashabi...
Staa wa soka dunia Cristiano Ronaldo ameweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufikisha mabao 900.
Ronaldo amefikisha idadi hiyo ya mabao baada ya jana kuifungia timu yake ya...
‘Rapa’ kutoka Marekani Kendrick Lamar ameripotiwa kuvunja rekodi ya marehemu msanii Tupac baada ya wimbo wake wa ‘Not Like Us’ kupata streams zaidi ya ...
Kwa mujibu wa taarifa iliyotolewa na Kampuni ya simu za Iphone imeweka wazi kuwa katika mfumo wao wa ‘iOS 18.1’ wanatarajia kufanya maboresho katika upande wa kupi...
Staa wa timu ya taifa ya England na Manchester United Kobbie Mainoo ameweka rekodi bora zaidi katika michuano ya Euro 2024, akipiga pasi sahihi nyingi kuliko wachezaji wengine...
Mwanamuziki wa Marekani George Strait amevunja rekodi nyingine katika taaluma yake ya muziki kwa kuujaza uwanja na kuifanya show yake hiyo kuweka historia mpya ya mauzo ya &ls...
Kinda wa Uturuki Arda Guler amevunja rekodi ya Cristiano Ronaldo ya kuwa mchezaji mwenye umri mdogo zaidi kufunga bao kwenye ‘mechi’ yake ya kwanza kwenye mikikiki...
Aliyekuwa mwalimu mkuu katika shule ya Madurai nchini India, Anthony Victor ndiye mtu pekee anayeshikilia rekodi ya Dunia ya Guinness kwa kuwa nywele ndefu zaidi za masikio du...