15
Obama Na Mkewe Hawana Mpango Wa Kuachana
Ujumbe ambao ameandika aliyekuwa Rais wa Marekani Barack Obama kwenda kwa mke wake Michelle Obama siku ya jana ya Valentine umewakosha watu wengi katika mitandao ya kijamii.Ob...
01
Ishu Ya Wema Kuachana Na Whozu Ipo Hivi
Moja ya stori inayoendelea kusambaa katika mitandao ya kijamii ni kuhusiana na staa wa Bongo Movie Wema Sepetu kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Whozu.Kutokana na wadau na mas...
04
Kuachana kwa Cardi B na Offset hakuzuii watoto kufurahi
Mwanamuziki wa Marekani Cardi B na mumewe Offset wameripotiwa kuonekana pamoja wakifurahia siku ya kuzaliwa ya mtoto wao siku chache zilizopita licha ya wawili hao kuwasilisha...
12
Zari na Shakib wadaiwa kuachana, Diamond atajwa
Mfanyabiashara Zari na mumewe Shakib wameripotiwa kugombana tena, hii ni baada ya mwanamuziki Diamond kutua Afrika Kusini kwa ajili ya kusheherekea siku ya kuzaliwa ya mtoto w...
18
Kizz Daniel adaiwa kuachana na mkewe
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria Kizz Daniel ameripotiwa kuachana na mkewe, hii ni baada ya kufuta picha zote akiwa na mama watoto wake huyo. Kupitia ukurasa wa Instagram wa K...
15
Kampuni ya Apple yashitakiwa kwa kusababisha mume na mke kuachana
Mfanyabiashara wa Uingereza aliyefahamika kwa jina la Richard ameripotiwa kuishitaki kampuni ya simu za Iphone, hii ni baada ya kampuni hiyo kurudisha ‘meseji’ zil...
10
Jennifer Lopez na Ben wauza nyumba, Wadaiwa kuachana
Mwanamuziki wa Marekani Jennifer Lopez na mumewe Ben Affleck wanadaiwa kuachana baada ya kuuza nyumba yao waliyoijenga pamoja kwa dola 60 milioni. Kwa mujibu wa tovuti ya TMZ ...
20
Banda afunguka kuachana na mdogo wa Kiba
Baada ya maswali mengi juu ya ndoa ya beki wa klabu ya Richards Bay inayoshiriki Ligi Kuu Afrika Kusini, Mtanzania Abdi Banda, mwenyewe kajitokeza na kufafanua ilivyokuwa.Staa...
29
Jada asisitiza kutoachana na Smith
Aliyekuwa mke wa muigizaji Will Smith, Jada amesema kuwa yeye na Will wataishia kutengana na siyo kuachana. Kufuatia mahojiano yake na Drew Barrymore siku ya jana Jumanne mwan...
19
Amber Rose: Nililia miaka mitatu baada ya kuachana na Wiz
‘Rapa’ kutoka nchini #Marekani, #AmberRose anadai kuwa anamchukulia WizKhalifa kama mpenzi wake wa maisha kwa sababu kuachana kwao kulimfanya alie kwa miaka mitatu...
14
Man United kuumuza Antony kwa bei ya hasara
Inadaiwa kuwa ‘klabu’ ya #ManchesterUnited, wapo tayari kumuuza kwa bei ya hasara mchezaji wao #Antony, ikiwa ni miezi 18 tangu mchezaji huyo ajiunge kwa ada ya uh...
10
Licha ya kuachana, Sophie achora ‘tattoo’ ya Drake
Mama mtoto wa ‘rapa’ kutoka nchini Canada, Drake, Sophie Brussaux ameendelea kuonesha upendo kwa msanii huyo hadi kufikia hatua ya kuchora ‘tattoo’ ya ...
03
Kocha adaiwa kuachana na ‘timu’ kisa matokea mabaya
Baada ya shinikizo kutoka kwa mashabiki na wa ‘klabu’ ya Esperance de Tunis ambao wanadai ‘timu’ hiyo haichezi mpira mzuri licha ya kutinga hatu ya mak...
24
Wolper afunguka kuachana mume wake
Muigizaji na mfanyabiashara Jackline Wolper amefunguka kuhusu kuachana na mume wake Rich Mitindo,  kutokana na kuwepo kwa tetesi za wawili hao kuwa na ugomvi ambao ulipel...

Latest Post