14
Utafiti: Kufurahia Kahawa Asubuhi, Kunapunguza Magonjwa Ya Moyo
Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa kutoka tovuti ya ‘European Heart Journal’ unaonesha kuwa kufurahia kikombe cha kahawa asubuhi kunaweza kupunguza hatari ya mago...
06
Magonjwa yaendelea kumtesa Selena Gomez
Baada ya baadhi ya mashabiki kuhoji kupitia mitandao ya kijamii kuhusiana na kupungua mwili kwa mwanamuziki na mwigizaji kutoka Marekani Selena Gomez , hatimaye msanii huyo am...
24
Utafiti: Zabibu zinasaidia kupunguza magonjwa ya moyo
Utafiti uliofanywa na ‘The Journals of Gerontology’ wanasayansi wanaojihusisha na masuala ya uzee, unapendekeza kula matunda aina ya Zabibu mara kwa mara kwa ajili...
06
Utafiti: Kufunga kunafanya watu wawe na afya njema
Utafiti uliofanywa na Chuo cha Cambridge umeeleza kuwa kufunga mara kwa mara kunawaongezea binadamu uzalishaji wa mafuta muhimu na kusababisha kuwa na afya njema na kupunguza ...
18
Uchafu wa kwenye simu umezidi wa chooni
Imekuwa kawaida kwa baadhi ya watu kuwa karibu na simu zao za mkononi kila mahali waendapo, na inaelezwa kuwa zaidi ya asilimia 90 ya watu duniani wanamiliki au kutumia simu j...
06
Professor Jay: Siyo mchezo kutoka ICU mzima
Mwanamuziki mkongwe wa #BongoFleva, #ProfessorJay amedai kuwa kipindi alipokuwa mahututi ICU alishuhudia vifo vya wagonjwa wengi sana. Akizungumza na chombo cha habari leo asu...
10
Kunywa bia kunasaidia kujilinda na magonjwa ya moyo
Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), imeshauri jamii kupenda kufanya mazoezi, kupunguza kula vyakula vya sukari, wanga na kusisitiza kwa wanywaji wa bia, kunywa angalau t...
22
Kipindupindu chauwa 10, Afrika kusini
Idara ya afya jimbo la Gauteng kutoka nchini Afrika Kusini siku ya jana Jumapili ilitangaza visa vipya 19 vya Kipindupindu ikiwa ni pamoja na vifo 10, katika mji wa Hamman-skr...
11
Mtoto azaliwa na DNA tatu
Taharuki imezuka nchini Uingereza baada ya mtoto wa kwanza kuzaliwa na DNA tatu kutoka kwa wazazi watatu, madaktari waligundua hilo kutokana na utaratibu uliofanyika ili kuzui...
12
Unaelewa nini kuhusu magonjwa ya meno
Matatizo ya meno ni matatizo au magonjwa yanayohusiana na meno, karibia matatizo yote ya meno husababisha na bakteria au wadudu wengine kuwepo mdomoni, hii hufanya mtu kuwa na...
08
Vihatarishi vya magonjwa yasiyo ya kuambukiza.
Magonjwa  yasiyo ya kuambukiza huchangia katika kumi bora ya vifo duniani katika nchi zenye uchumi mdogo, wa kati na wa juu, takwimu zilizotolewa na shirika la afya dunia...
28
Je Maumivu wakati wa Kukojoa ni dalili ya Magonjwa ya Kujamiiana
Daktari wa Magonjwa ya binadamu kutoka Hospitali ya Anglikana, iliyopo Buguruni jijini Dar es Salaam, Dk. Rahel Mwinuka anafunguka na kusema Magonjwa ya Zinaa, ni magonjwa yae...

Latest Post