Olipa Assa, MwananchiDar es Salaam. Msanii wa Bongo Fleva wa miondoko ya R$B, Ben Pol anatarajia kuachia wimbo aliofanya na DJ Don Diablo kutoka Ulaya.Mwaka 2016 Diablo alichu...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Raymond Mwakyusa ‘Rayvanny’ amefichua mbinu aliyotumia kuondoka lebo ya Wasafi Classic Baby (WCB) bila drama yoyote wala maneno h...
Aliyekuwa mshiriki wa Shindano la Kusaka Vipaji (BSS) Moses Luka (DRC) ameibuka mshindi katika shindano hilo lililoanza mwishoni mwa 2024 na kumalizika Februari 28,2025.Moses ...
Nyota kutoka klabu ya Al Nassr na timu ya taifa ya Senegal, Sadio Mane ameweka wazi idadi ya watoto anaotamani kuwapata na mke wake Aisha Tamba.Mane ameweka wazi suala hilo ku...
Kutokana na maendeleo ya teknolojia ulimwengu unaendelea kufurahia kazi za Charlie Chaplin, msanii maarufu wa vichekesho aliyezaliwa Aprili 16, 1889 London, Uingereza, alijuli...
Kanuni na miongozo ni jambo muhimu kwenye sekta yoyote kwa lengo la kuepusha upotoshaji na uvunjwaji wa kanuni na sheria iliyowekwa.
Nchini Tanzania kumekuwa na malalamiko kut...
Baada ya wadau mbalimbali wa muziki Bongo kutafsiri vibaya baadhi ya maneno katika wimbo wa mwanamuziki Lavalava uitwao ‘Kibango’ kuwa hauna maadili kwenye maneno ...
Mwigizaji wa Bongo movie #KajalaMasanja amewatolea povu watu wanaofuatilia na kutaka kumuharibia jina lake amedai kuwa maisha ni yake ila mazishi ni yao.
Kajala ameyasema hayo...
Mwanamuziki kutoka nchini Marekani, Doja Cat ameripotiwa kumtolea maneno machafu baba yake mzazi hii ni baada ya kutokuwa na maelewano mazuri na mzee wake huyo.Kupitia ukurasa...
Baada ya ‘timu’ yake ya Taifa ya #Senegal kuondolewa katika michuano ya #Afcon mchezaji kutoka ‘klabu’ ya #Alnassr Sadio Mane amerudi na sasa yupo mapu...
Muanzilishi wa kampuni ya ‘FutBolJobs’ Valentin Botella Nicolas, kutoka nchini Saudi Arabia amepanga kusajili wachezaji wapya kwa ajili ya ‘ligi’ daraj...
Nyota wa ‘timu’ ya Taifa ya #Senegal, na ‘klabu’ ya #AlNassr #SadioMane, amejenga uwanja wa mpira wa miguu katika kijiji alichozaliwa cha Casamance, Ku...
Kama hujawahi kufikiria kuwa kuna mmea wenye muonekano wa midomo ya binadamu, fahamu kuwa mmea huo upo na unafahamika kwa jina la Hooker na kisayansi unaitwa Psychotria elata....