Baada ya msanii wa maigizo Rose Ndauka kuachia Ep yake ya Majibu Rahisi mwezi Disemba, 2024 nakupokea maoni mengi ya kumkatisha tamaa, Msanii na Mtangazaji Frida Amani amekuja...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani, #KanyeWest ametoka hadharani na kuiomba radhi jamii ya Wayahudi kufuatia na maneno na vitendo vyake vilivyozua chuki kwa jamii hiyo....
Wanawake na mabinti wengi wamekuwa wakitumia urembo wa make up kupaka kwenye nyuso zao kwa lengo la kupata muonekano tofauti, hasa wakienda kwenye masherehe au kwenye kazi zao...
Kwa mujibu wa shirika la kutoa misaada la kibinadamu la The Charities Aid Foundation (CAF) imetaja kuwa Kenya ndiyo nchi inayoongoza kwa ukarimu Afrika.
Ambapo imetajwa kuwa n...
‘Rapa’ mkongwe kutoka nchini Marekani, #50Cent inadaiwa kuwa ameudhihaki muonekano wa mwanamuziki #Madonna kwa kumcheka baada ya ‘kumposti’ katika ukur...
Dennis Graham ambaye ni baba wa mwanamuziki kutoka nchini Marekani Drake, ameendelea kumkingia kifua mwanaye na kudai kuwa hawezi kuingilia wala kutoa maoni yoyote juu ya vita...
Mwanamuziki wa #BongoFleva #Rayvanny ametoa maoni yake kwa kusema kuwa yeye anafikiri wasanii wangekuwa ni watu wa kuogopeka sana kwa kazi wanazofanya kwa sababu msanii akitoa...
Mambo zenu marafiki zangu na wafanyabiashara wenzangu, I hope mko pouwa kabisa, kama kawaida yetu madhumini yetu ni yale yale kuja kuelimishana na kuelezana kuhusiana na maswa...