28
Davido matatani kufungiwa kutofanya show Nigeria
Nyota wa Afrobeats Davido amedokeza kuwa onesho lake linalotarajiwa kufanyika mwezi Disemba nchini Nigeria linatishiwa kufutwa kufuatia na msanii huyo kutoa maneno yenye utata...
19
Udanganyifu wamuweka matatani Wayne na Post Malone
Post ‘Rapa’ kutoka Marekani Lil Wayne na Post Malone wanatuhumiwa kuidanganya Serikali nchini humo kupitia mradi wao wa kufundisha vijana kuacha kutumia madawa ya ...
22
Mhandisi wa Google matatani, Tuhuma za mauaji
Mhandisi wa Program za #Google anayefahamika kwa jina la Liren Chen anatuhumiwa kumpiga mkewe hadi kumuua nyumbani kwake nchini Marekani. Kwa mujibu wa New York Post Mhandisi ...
24
Mavokali matatani kwa kutumia msemo Bado hujasema
Mchekeshaji  #Kago atishia kumshtaki msanii wa #BongoFleva #Mavokali, kwa kutumia msemo wake wa ‘Bado Hamjasema’ katika wimbo wake mpya  ‘HAMJASEMA...
10
Refa matatani kwa kumchoma kisu mchezaji
Muamuzi wa mpira wa miguu anayefahamika kwa jina la #RemigioArmoa atuhumiwa kumchoma kisu mchezaji wa ‘timu’ ya #Chacarita, #Kevin, baada ya kuzuka vurugu kati ya ...
01
Onana matatani kupoteza nafasi kikosi cha kwanza
Mlinda mlango wa ‘klabu’ ya Manchester United, Andre Onana anachungulia tundu la sindano kwa kuhofia kupoteza nafasi yake kwenye kikosi cha kwanza ‘klabuni&r...
17
Ndoa ya kaka yake Jada Smith matatani
Jada Smith siyo pekee katika familia yake aliye na wakati mgumu kwenye ndoa yake, inaelezwa kuwa hadi kaka yake Caleeb Pinkett, ambaye ni muigizaji alitengana na mkewe Patrici...
09
Kinyesi cha Twiga chamuweka matatani mwanamke mmoja
Mwanamke mmoja amekamatwa kwenye Uwanja Wa Ndege Wa Minnesota nchini Marekani, akiwa na kinyesi cha Twiga kutoka nchini Kenya. Mwanamke huyo alieleza kuwa alibeba kinyesi hich...
05
Ne-Yo, Crystal ndoa yao matatani
Aoooh!!! Ukisikia kitumbua kimeingia mchanga ndiyo hiki ambacho kimetokea kwa wawili hawa unaambiwa bwana Crystal Smith, mke wa miaka 6 wa msanii wa RnB Ne-Yo ameripotiwa kuwa...
22
SIMULIZI YA KIWEMBE: Mapenzi yamuweka matatani
SEHEMU YA KWANZA KIGOMA MJINI, MACHI, 2005 ALIPOCHEKA, alipendeza. Tabasamu lake zuri, tabasamu linaloshawishi na kubembeleza, huwafanya watu, hususan wanawake wamsogelee na k...

Latest Post