Kujenga nyumba ni rahisi sana kama ukiwa hatua za mwanzoni. Urahisi wenyewe huanzia kwenye lugha na maongezi yake. Yaani ni kisiwahili mwanzo mwisho.Kiwanja, mchanga, msingi, ...
Mfalme wa Pop kutoka Marekani Michael Jackson ameripotiwa kuacha deni la dola 500 milioni ikiwa ni sawa na Sh 1.3 Trilioni Mahakama Kuu ya Kaunti ya Los Angeles imesema.Kwa mu...
Mbwa wa mwigizaji Daryl Dixon's aitwaye ‘Seven’ aliyeonekana katika filamu ya zombie ya ‘The Walking Dead’ amefariki dunia siku ya jana Alhamisi Mei 13...
Mbwa mmoja aliyetambulika kwa jina la #TucsonPrime, ambaye hakuwa na makazi maalumu amepata ‘dili’ la kuwa mfanyakazi katika kampuni ya kuuza magari ya #Hyundai il...
Mwanamke mmoja aitwaye #Liu kutoka Shanghai nchini China ameamua kuwanyima urithi watoto wake na kuwapatia wanyama wake Mbwa na Paka utajiri wake wa dola milioni 2.8 ambayo ni...
Rekodi ya dunia ya ‘Guinness World Records’ imesitisha taji la mbwa kutoka nchini Ureno aliyetambulika kwa jina la Bobi, ambaye alishika rekodi hiyo mwaka jana Feb...
Duniani kuna aina nyingi za mbwa, lakini licha ya kuwa na aina hizo wanyama hawa huzoeleka kwa kuwa na mtindo wa kufanana kwenye kubweka.
Mfanano huo wa sauti za kubweka unaji...
Mbwa mmoja kutoka Pennsylvania aitwaye Cecil, amezua gumzo baada ya kutafuna bahasha iliyokuwa na hela $4,000 ambazo mmiliki wake alikuwa ameziweka kwa ajili ya kumlipa mkanda...
Utafiti wa ubongo wa mbwa uliofanya kwa njia ya vipimo vya MRI na Chuo Kikuu cha Emory umebaini kuwa mbwa hunasa haraka harufu ya binadamu kuliko harufu nyingine, hivyo unaone...
Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Anthony Bellman mwenye umri wa miaka 55 kutoka nchini Marekani ameswekwa rumande kwa kujaribu kumuua mbwa
Inaelezwa kuwa polisi walimf...
Mbwa wa familia ya Rais nchini Marekani, Joe Biden, Commander ametimuliwa Ikulu kwa kutoka na mfululizo wa matukio ya kuwang'ata wafanyakazi wa eneo hilo wakiwemo walinzi wa R...