Mwanamuziki kutoka nchini Canada ambaye makazi yake ni Marekani The Weeknd ameingia kwenye vichwa vya habari mbalimbali baada ya kuripotiwa kulipia mabango katika nchi mbalimb...
Rapa Yung Miami ambaye pia ni mpenzi wa zamani wa Diddy amedai kuwa wakati yupo na Combs hakuwahi kufanyiwa ukatili wowote.Yung ameyasema hayo baada ya kuwa na mijadala mingi ...
Uongozi wa Miami Beach umeondoa siku maalumu ya ‘rapa’ Diddy ambayo ilizinduliwa kwa mara ya kwanza Oktoba 13, 2016, huku sababu ikitajwa ni kufuatia na video ya C...
Baada ya siku ya juzi mawakili wa mkali wa Hip-hop kutoka Marekani Diddy kuomba mahakama kufuta baadhi ya kesi kutokana na kesi hizo kuwa za uongo, kijana wa Combs, King Combs...
Idara ya Polisi ya ‘Miami Beach’ nchini Marekani imetangaza kuwa kwasasa polisi watatumia magari ya Rolls-Royce katika doria za sehemu ya ufukwe (beach) pamoja na ...
Kampuni maarufu inayojihusisha na utengenezaji wa bidhaa mbalimbali ya Adidas iko mbioni kuzindua toleo maalumu la viatu vya marehemu mkali wa reggae kutoka Jamaica Bob Marley...
Mchezaji wa ‘timu’ ya Taifa ya Argentina na ‘klabu’ ya Inter Miami Lionel Messi anatajwa kuwa ndiye mwana-soka anayefuatiliwa na kupendwa zaidi nchini ...
Meya wa jiji la Miami Francis Suarez na Mbunge Frederica Wilson kutoka nchini Marekani siku ya Jana, Januari 15 wamemkabidhi ‘Rapa’ Rick Ross ufunguo wa jiji la Mi...
Meli kubwa zaidi Duniani inayoitwa ‘Royal Caribbean’s Icon of the Seas’ tayari imewasili jijini Miami nchini Marekani ikitokea Finland ambapo ndipo ilipoteng...
Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na ‘klabu’ ya Inter Miami kuingia dimbani na ‘timu’ ya Al Nassr, sasa uvumi huo umethibitishwa kuwa ukweli, ambapo mia...
Baadhi ya watu maarufu duniani wamekuwa wakitamani na wengine kuwekeza kwenye umiliki wa ndege binafsi, wapo baadhi ya wanamuziki ambao tayari wanamikili vyombo hivyo vya usaf...
Kama ilivyo kawaida kwa wachezaji wakubwa katika nchini mbalimbali kupeleka tuzo walizoshinda katika ‘timu’ wanazo zichezea, Lionel Messi naye amefanya hivyo baada...