15
Azizi Ki Apokea Zawadi Hii Kutoka Kwa Mobetto
Mchezaji wa klabu ya Yanga Stephane Aziz Ki ameshare zawadi aliyopatiwa na rafiki yake mwigizaji na mfanyabiashara Hamisa Mobetto.Kupitia ukurasa wa Instagram wa mchezaji huyo...
13
Diamond, Mobetto, Azizi Ki Watajwa Matukio Yaliyobamba 2024
Zimesalia siku chache tu kabla ya kuumaliuza mwaka 2024 na kuukaribisha mwaka mpya 2025. Kwenye burudani kuna matukio mengi kama ilivyo kwenye tasnia nyingine kama michezo amb...
16
Mastaa Watoa Salamu Za Pole Kariakoo
Kufuatia na tukio lililotokea mapema leo la kuporomoka kwa moja ya jengo Kariakoo na kusababisha maafa pamoja na majeruhi baadhi ya mastaa wametoa salamu zao pole kwa wafanyab...
20
Wanamuziki waendeshwa na umbea
Wanamuziki wenyewe wanaendeshwa na umbea. Hawaumizi tena vichwa vyao, wanachofanya ni kupita kwenye maeneo yale yale ya umbea. Matokeo yake Hamisa anatajwa hata mara tatu kati...
27
Mastaa na mitupio ya mavazi mwaka 2023
Leo katika Fashion tumekusogezea  baadhi ya wasanii waliotokelezea katika upande wa mavazi na wale ambao waliwashangaza watu kwa mitindo ya mavazi yaani walitoa booko hah...
16
Kelvin Sowax na Hamisa kama Kanye West na Bianca
Mfanyabiashara Kelvin Sowax ambaye pia ni mpenzi wa mrembo Hamisa Mobetto kupitia Instastory yake ame-share picha ya rapper kutoka Marekani, Kanye West akiwa na mkewe Bianca n...
01
Mambo yameiva kwa Hamisa, Kevin atangaza ndoa
Mpenzi wa mwadada Hamisa Mobetto, @kevinsowax amekiri kufunga ndoa na mrembo huyo baada ya kuoneshwa mahaba mazito na Hamisa sasa amua kuweka wazi kuwepo kwa ndoa yao. Katika ...
29
Hamisa Mobetto aomba ushirikiano kusaidia watoto
Mrembo Hamisa Mobetto, ikiwa imepita siku moja tangu afike kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoa msaada kwa watoto wanaopatiwa matibabu ya saratani, mwanadada huyo aomba w...
22
Alikamwe: Hamisa aliniita mtoto, Siku nikilewa nitasema
Afisa Habari wa #Yanga Ali Shabani Kamwe amfikishia ujumbe mwanadada Hamisa Mobetto kuwa amesikia alivyomuita ‘kid’ na kudai kuwa siku akilewa atatoka hadharani na...
08
Hamisa: Utakuwa mtu ambaye dunia itajivunia
Katika kumtakia heri ya kuzaliwa mtoto wake Hamisa Mobetto ameonesha furaha yake kwa kuandika maneno ya upendo kwa mtoto huyo wa pili, ambaye siku ya leo anasherekea kumbukumb...
26
China kumenoga white party ya Hamisa
Ukisikia kujipata basi Hamisa Mobetto amejipata haswa, usiku wa kuamkia leo mrembo huyo amefanya party nchini China akiwa na mpenzi wake mpya anayefahamika kama Kevin Sowax.Am...
17
Lulu amjia juu shabiki kisa Hamisa Mobetto
Muingizaji wa #BongoMovie Elizabeth Michael (Lulu), kama ilivyo kawaida yake kutovumilia maneno ya  mashabiki kwenye mitandao ya kijamii, kwa mara nyingine tena #Lulu ama...
14
Huyu hapa mpenzi mpya wa Hamisa Mobetto
Baada ya kuwa na tetesi za penzi jipya la mrembo Hamisa Mobetto, baada ya picha zake kusambaa akiwa na mwanaume ambaye anaonekana upade wa mgongo na kupelekea wengi kutaka kuf...
06
Mobetto: Nitafanya surgery ya kuongeza mdomo
Weeeeeeh! Huku wengine wakiwa wanaenda kuondoa makalio na lips za bandia walizoweka lakini kwa Mrembo Hamisa Mobeto ameweka wazi mpango wake wa kufanya upasuaji "Sur...

Latest Post