Baada ya Mfululizo wa msimu wa pili wa Squid Game kufanya vizuri mara tu baada ya kuachiwa, wasambazaji wakuu wa filamu hiyo Netflix wametangaza ujio wa Msimu wa 3 utakaotoka ...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva Kayumba Juma ameweka wazi juu ya mwendelezo wa sakata lake alilodai awali kudhulumiwa Sh 7 milioni na Director Elly Mzava, ambaye anafanya kazi na R...
Klabu ya #ManchesterUnited inajiandaa kusaini nyaraka kwa ajili ya kumtangaza Dan Ashworth kama Mkurugenzi wa Michezo kutoka klabu ya Newcastle United baada ya vilabu hivyo ku...
Mchezaji NBA Darius Morris anatajwa kufariki kwa ugonjwa wa moyo, huku matumizi ya dawa za kulevya na pombe yakitajwa kama chanzo, mchunguzi wa afya wa Kaunti ya Los Ang...
Marvel Studios na Sony Pictures zipo kwenye mpango wa kuanza kurekodi filamu ya "Spider-Man 4" itayoongozwa na Tom Holland, Septemba mwaka huu, na itatolewa mwishoni mwa 2025....
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani Kanye West ameripotiwa kuchunguzwa na polisi wa LAPD kufuatia tukio lililotokea usiku wa Jumanne baada ya mwanaume mmoja kudaiwa kums...
Mwanaume wa kwanza kupandikizwa figo ya nguruwe nchini Marekani aitwaye Richard Slayman (62) ameruhusiwa kutoka hospitali, baada ya kufanyiwa upasuaji wiki mbili zilizopita ka...
‘Rapa’ kutoka nchini Marekani 50 Cent anatarajia kurithi mikoba ya Diddy baada ya kampuni ya vinywaji ya ‘Vodka Ciroc’ kumfuta ubarozi Combs.
Kwa mujib...
Mkali wa #Afrobeat kutoka nchini Nigeria, #Davido ameweka wazi kuwa album yake mpya tayari imekamilika na muda wowote inaweza kutoka.#Davido ameweka wazi suala hilo wakati ali...
Baada ya kushiriki kuandika nyimbo za mastaa wakubwa duniani kama Beyonce na Rihanna, hatimaye Temilade Openiyin ‘Tems’ kutokea nchini Nigeria ametangaza kuwa mwak...
Mwanamuziki kutoka nchini #Nigeria, #Davido, ameingia katika teknolojia ya kutengeneza mtandao wa kijamii ‘Chatter’ambapo utajihusisha na mwaliko maalum kwa ubunif...