Kelvin KagamboNatamani wasanii wangekuwa wanatengeneza video za ngoma zao au angalau baadhi ya video za ngoma kama Dizasta Vina. Simpo, lakini imejaa maana kubwa.Video ya wimb...
Mwanzilishi wa Taasisi ya Professor Jay (Professor Jay Foundatison), Joseph Haule akitoa ushuhuda wake kuhusu ugonjwa wa figo uliomsumbua kwa muda mrefu.Ushuhuda huo aliutoa b...
Ni wazi kumekuwa na makundi mengi ya muziki ambayo yamevunjika, sio tu Tanzania bali hata sehemu nyingine mfano kundi la P-Square lililokuwa likiundwa na ndugu wa...
Baada ya ukimya wa miaka kadhaa akiwa gerezani mwanamuziki kutoka Marekani, R. Kelly ni kama amefufuliwa upya ambapo kwa mara ya kwanza amefunguka kudai kuwa muziki ndio ugonj...
Mehran Karimi Nasseri, raia kutoka Iran aliwavutia wengi baada ya kuishi katika Uwanja wa Ndege wa Charles de Gaulle, uliopo jijini Paris kwa zaidi ya miaka 18.Mwaka 1988, Nas...
Hakuna ubishi kuwa MB Dogg ni miongoni mwa wasanii wachache wa Bongofleva ambao muziki wao ulitikisa vilivyo, ngoma zake zililia sana mitaani na kutawala chati karibia zote za...
PEkkachai Tiranarat na Laksana, wanandoa wa muda mrefu kutoka Thailand waliowahi kuvunja rekodi ya Guinness World Record kwa kubusu muda mrefu zaidi mwaka 2013 ambapo walibusi...
Tamasha la Muziki la Sauti za Busara la 22, lililoanza Februari 14,2025, hatimaye limetamatika leo Februari 16, 2025 kwa burudani ya kusisimua kutoka kwa wasanii wa ndani na n...
Kwa mujibu wa utafiti uliyofanywa na ‘Chuo Kikuu cha Baylor’ umeeleza kuwa ulaji wa tambi mara kwa mara haswa mara mbili hadi tatu kwa wiki, umehusishwa na hatari ...
Mwigizaji Li Lianjie 'Jet Li' amewaacha mashabiki wake midomo wazi baada ya kufunguka kuwa amemkabidhi mke wake Nina Li Chi utajiri na fedha zake zote.Mwigizaji huyo mwenye ut...
Unakatiza zako kitaa. Iwe Mlimani City ama Sinzani kwenye maduka yao yale ya shumizi na vijora. Mara paap unakutana na karembo flan hivi amazing. Unaona kukaacha kapite hivi h...
Mwanamuziki anayefanya vizuri ndani na nje ya nchi Diamond ameripotiwa kuingiza mkwanja mrefu kupitia mtandao wa kusikiliza na kutazama muziki wa YouTube.Kwa mujibu wa mtandao...
Naibu Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ amesema kuwa katika kipindi cha Septemba 2023 hadi Novemba 2024 COSOTA kwa kushir...
Kwa mujibu wa utafiti uliochapishwa kutoka tovuti ya ‘European Heart Journal’ unaonesha kuwa kufurahia kikombe cha kahawa asubuhi kunaweza kupunguza hatari ya mago...