Baada ya record lebo ya ‘Pozi Kwa Pozi’ (PKP) iliyokuwa chini ya msanii wa Bongo Fleva, Ommy Dimpoz kufanya vizuri miaka ya 2016 ikiwa na msanii wake Nedy Music, h...
Kati ya watu ambao wamepata umaarufu kwenye mitandao ya kijamii nchini Tanzania, kutokana na mbwembwe walizofanya kwenye harusi ya msanii Jux na mkewe Priscilla ‘Hadiza&...
Moja ya tukio ambalo limeteka mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vingi ndani na nje ya Tanzania ni kuhusiana na harusi ya mastaa wawili ni Jux na Priscilla ambao wamefan...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini Jux amefunga ndoa na mpenzi wake mfanyabiashara kutoka Nigeria Priscilia leo Februari 7,2025.Taarifa ya ndoa ya wawili hao imetolewa na baadh...
Tasnia ya muziki wa Bongo Fleva imejaa vipaji vingi kutoka kwa wasanii tofauti tofauti, ambao kila mmoja alifanikiwa kutoka kwa wakati wake. Katika hao wapo ambao walianza muz...
Mwanamuziki Ommy Dimpoz amewataka mashabiki na wadau mbalimbali kutomuita chawa endapo Diamond atapokuwa tajiri namba moja duniani.Kutokana na video ya Diamond iliyosambaa juz...
Kufuatiwa kutangazwa kwa kifo cha aliyekuwa Rais wa Awamu ya Pili wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Ali Hassan Mwinyi, mastaa mbalimbali wameoneshwa kuguswa na msiba ...
Aliyekuwa msemaji wa klabu ya Yanga Haji Manara, amvisha pete ya uchumba mpenzi wake Zaylissa siku ya jana Januari 18.Sherehe hiyo ya kuvishana pete ilienda sambamba na kusher...
Msanii wa muziki nchini #OmmyDimpoz ame-share video katika InstaStori yake akionyesha simu yake mpya ya I phone 15 na kuandika ujumbe wa matani akiwaambia watu kama hawana ain...
#DiamondPlatnumz na #OmmyDimoz wakiwa pamoja ndani ya ndege, ukaribu wa wawili hao umezidi kuonekana mara baada ya kutoonekana wakiwa pamoja kwa muda mrefu.
Ikumbukwe kuwa waw...
Hahahhaha! Make hapa kwanza ncheke, inabidi na sie wengine twende tukapige picha hata na Messi ili tupate pa kutambia maana toka kijana Dimpoz apige picha na kupostiwa katika ...
Ebwanaaa! Weeee! Watu wanavimba tena wanavimba haswaa, basi bwana msanii wa bongo fleva nchini Tanzania anatamba sana kupitia mitandao ya kijamii kwa kuwa wa kwanza kupiga pic...