17
Tuzo Za Oscars Hazitohairishwa
Baada ya kuwepo kwa tetesi kuhusiana na tuzo za Oscars kuahirishwa kufuatiwa na tukio la moto lililotokea jijini Los Angeles katika milima ya Hollywood, na sasa taarifa rasmi ...
01
Fahamu madhara ya Human Hair
Na Glorian SulleNi dhahiri kuwa suala la kuvaa na kubandika nywele /human hair kwa sasa ndilo linachukua nafasi kwenye ulimwengu wa fashion na mitindo. Ni muhimu kujali mwonek...
22
Murphy kuonekana kwenye Peaky Blinders
Baada ya kuondoka na tuzo ya Oscar 2024, kama Mwigizaji Bora wa Kiume, Cilian Murphy ameripotiwa kuonekana katika muendelezo wa filamu ya ‘Peaky Blinders’.Taarifa ...
11
John Cena apanda jukwaani mtupu
Mwanamieleka na muigizaji maarufu kutoka nchini Marekani John Cena, amewaacha hoi wageni waalikwa kwenye utoaji wa tuzo za Oscar zilizofanyika usiku wa kuamkia leo, Machi 10, ...
11
Huu ni mwaka wa tuzo kwa Billie Eilish
Baada ya kuondoka na Tuzo ya Wimbo Bora wa Mwaka katika Tuzo za Grammy 2024 na sasa mwanamuziki Billie Eilish, ameshinda tuzo ya wimbo bora wa mwaka katika Tuzo za Oscar 2024....
11
Murphy mwigizaji bora wa kiume Oscar 2024
Mwigizaji maarufu kutoka nchini Ireland, Cillian Murphy ameshinda Tuzo za Oscar 2024 katika kipengele cha Mwigizaji Bora wa Kiume, tuzo zilizotolewa usiku wa kuamkia leo katik...
05
Mwanariadha Pistorious kuachiwa huru leo
Ulimwengu wa wapenda michezo baadaye utashuhudia tukio la kuachiwa huru kutoka gerezani mwanariadha wa zamani wa mbio fupi, Oscar Pistorious, raia wa Afrika Kusini.Nyota huyu ...
11
Jada Smith afichua kutengana na Will kwa miaka saba sasa
Muigizaji na mtangazaji kutoka nchini Marekani Jada Smith ameweka wazi kuwa yeye na mume wake Will Smith ambaye pia ni muigizaji walitengana kwa siri miaka 7 iliyopita huku ak...
14
Sean: Kitendo cha Will Smith kumpiga Chris Rock alitakiwa kwenda jela
Mwigizaji wa filamu kutoka nchini Marekani Sean Penn, akumbushia tukio la Will Smith kumpiga kofi Chris Rock baada ya kumfanyia ma...
06
Nyota wa Disney Coco Lee afariki dunia
Mwimbaji Coco Lee, mzaliwa wa Hong Kong aliejizoelea umaarufu katika Pop huko Asia miaka ya 1990 na 2000 amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 48. Lee alihamia Marekani akiwa...
08
Mshindi wa kwanza Mweusi tuzo za Oscar, Sidney Poitier afariki dunia
Star wa filamu wa HollyWood, Sidney Poitier amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 94. Poitier, ambaye alivuka vikwazo vya rangi k...

Latest Post