Mwanaume mmoja kutoka Afrika Kusini ambaye hajawekwa wazi jina lake ameripotiwa kuwasilisha kesi ya talaka mahakamani baada ya mke wake kupiga picha yenye utata na mkali wa R&...
Mgombea wa kiti cha urais nchini Marekani Donald Trump ameripotiwa kutumia picha ya Taylor Swift iliyotengenezwa na akili bandia kuhimiza watu kumuunga mkono katika uchaguzi u...
Mwanamuziki Chris Brown na msanii mwenzie Kehlan wamezua gumzo mitandaoni baada ya kuposti picha wakiwa pamoja ambayo ilitafsiriwa vibaya na mashabiki.Kupitia ukurasa wa Insta...
Baada ya mwanamuziki kutoka Nigeria Davido kufunga ndoa na mpenzi wake wa muda mrefu Chioma siku ya jana Jumanne Juni 25, mastaa wakike mbalimbali kutoka Bongo wamempongeza Ch...
Baada ya kuzuka tetesi kuhusiana na Mwigizaji wa Marekani Jason Momoa na Adria Arjona wanatoka kimapenzi, hatimaye Momoa amethibitisha tetesi hizo.
Momoa amethibitisha kutoka ...
Mkali wa Afrobeat kutoka Nigeria Kizz Daniel ameripotiwa kuachana na mkewe, hii ni baada ya kufuta picha zote akiwa na mama watoto wake huyo.
Kupitia ukurasa wa Instagram wa K...
Staa wa Ufaransa na Real Madrid, Kylian Mbappe anaweza kukosa ‘mechi’ zilizosalia za michuano ya Euro 2024, baada ya kufanyiwa upasuaji wa pua utakaomweka nje kwa ...
Mwanamuziki wa #BongoFleva, Zuchu, aonesha hisia zake za dhati kwa kutamani kuzaa mtoto na #DiamondPlatnumz lakini akiwa ndani ya ndoa.
Zuchu ameyasema hayo kupitia Instastor ...
Mfanyabiashara wa madini na bilionea nchini Australia, Gina Rinehart, ameliomba jumba la Sanaa la Kitaifa la ‘Canberra’ nchini humo kuondoa picha yake ambayo hajap...
Wandoa waliyopishana miaka 37 kutoka nchini Marekani Cheryl McGregor (63) na mume wake Quran McCain (26) wamezua gumzo mitandaoni baada ya kudai kuwa wanatarajia kupata mtoto ...
Baada ya kuripotiwa kuwa mwanamuziki Rihanna hakuweza kuhudhuria katika tamasha la mitindo la ‘Met Gala’ lililofanyika nchini Marekani, baadhi ya watu wametengenez...
Mwanamke mmoja kutoka nchini Brazil aitwaye, Érika de Souza Vieira ameshikiliwa na polisi baada ya kupeleka maiti ya mjomba wake Paulo Roberto Braga (68) benki ili kwen...
Ikiwa zimepita wiki kadhaa tangu picha ya mwigizaji kutoka China, Jackie Chan kuzua gumzo mitandaoni baada ya kuonekana akiwa ameota mvi kichwani na kwenye ndevu, sasa mwigiza...