Naibu Waziri wa Habari Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Hamis Mwinjuma ‘Mwana FA’ amesema kuwa katika kipindi cha Septemba 2023 hadi Novemba 2024 COSOTA kwa kushir...
‘Klabu’ ya AS FAR Rabat ya Morocco imefikia makubaliano ya kumteua mkufunzi, Hussein Amouta kuwa ‘kocha’ mkuu klabuni hapo kwa ajili ya kuchukua mikoba...
Tanzania imeendelea kuwa kivutio cha watalii kuja kupumzika na kutembelea vituo vilivyopo, hii ni baada ya kiungo wa Manchester United na timu ya taifa Morocco, Sofyan Amrabat...
‘Fowadi’ wa zamani wa Real Madrid, Manchester City na Brazil, Robinho ameanza kujifunza ufundi wa vifaaa vya umeme, ikiwamo kutengeneza televisheni akiwa gerezani ...
Vipo vitu vingi ambavyo vimekuwa vikitumia kwenye jamii na kuleta manufaa bila ya watumiaji kufahamu ni nani aliumiza kichwa kubuni vitu hivyo.Kutokana na hilo mfahamu raia wa...
‘Klabu’ ya Kaizer Chiefs imeonesha tena nia ya kutaka huduma ya aliyekuwa Kocha wa Yanga, Nasreddine Nabi baada ya mwaka jana kumkosa.Dili la Nabi kwenda Kaizer li...
Waswahili wanasema kazi ni kazi ilimradi mkono uende kinywani, lakini ndani ya kazi hizo ambazo watu wanazifanya yapo mengi wanayokumbana nayo yanayowafikirisha kiasi cha kuac...
Muigizaji kutoka nchini Marekani, Aaron Paul amedai kuwa kampuni ya kuuza ‘movie’ Netflix haijamlipa mirabaha yake kutoka katika tamthilia ya Breaking Bad.Tamthili...
Taarifa za awali zilidai kuwa kiungo mpya wa ‘klabu’ ya Manchester United, Sofyan Amrabat vipimo vyake viligunguliwa kuwa ana tatizo la uti wa mgongo kama straika ...
Mwanadada mfanyabiashara wa nywele za bandia kutoka nchini Nigeria aamua kukatiza barabarani kutoa zawadi ya pesa kwa vijana waliyokuwepo pembezoni mwa barabara hiyo.
Mrembo h...
Yale maokoto ambayo wengi walikuwa wakiyasubiri kwa muda mrefu ili kujua kiasi cha pesa ambacho wasanii watapata kutokana na kazi zao kupigwa kwenye vituo mbalimbali vya Redio...