Mwanamuziki Jose Chameleone ametoa shukrani kwa mashabiki wake, marafiki, na serikali ya Uganda kwa kumuunga mkono na kuwa pamoja naye wakati akipambania afya yake. Chameleone...
Mwanamuziki wa Uganda Jose Chameleone leo Februari 19,2025 anatarajia kufanyiwa upasuaji wa kongosho nchini Marekani katika Hospitali ya Allina Health Mercy iliyopo Coon Rapid...