30
Robert Eggers Aimwagia Sifa Home Alone
Mwandishi wa filamu kutoka Marekani Robert Eggers, ameimwagia sifa filamu ambayo inatizamwa zaidi katika kipindi cha sikukuu za mwisho wa mwaka kwa kuitaja kuwa filamu bora ya...
02
Matendo ya R.Kelly yamchukiza binti yake
Mtoto wa mwanamuziki R. Kelly, Joanne Kelly amepanga kuachia filamu fupi (Documentary) itayoeleza matendo ya unyanyasaji yaliyokuwa yakifanywa na baba yake.Kupitia filamu hiyo...
31
Rick Ross atakiwa kulipia ada ya mtoto zaidi ya sh 500 milioni
Moja ya stori inayoendelea kusambaa kupitia mitandao ya kijamii ni kuhusiana na aliyekuwa mpenzi wa ‘rapa’ Rick Ross aitwaye Tia Kemp kutaka kiasi kikubwa cha pesa...
05
Mama Kim Kardashian afanyiwa upasuaji
Baada ya mfanyabiashara na mama mzazi wa Kim Kardashian, Krish Jenner kudai kuwa anatatizo la kiafya, sasa mwanamama huyo ameweka wazi kuwa kutokana na tatizo hilo amefanyiwa ...
27
Afunga ndoa na mdoli
Mwanadada mmoja kutoka nchini Marekani aitwaye Felicity (24) anadaiwa kufunga ndoa na #mdoli aina ya #zombie aitwaye #Robert wiki moja iliyopita katika siku ya Wapendanao Febr...
05
Ronaldo ashinda tuzo mfungaji bora 2023
Nyota wa ‘klabu’ ya Al Nassr FC kutoka Saudi Arabia, Cristiano Ronaldo ameibuka kidedea kwa kushinda Tuzo ya Maradona kutoka Globe Soccer kama mfungaji bora kwa mw...
15
Robertinho aacha walaka kwa Dewji, Kuhusu Azizi Ki
Aliyekuwa ‘Kocha’ Mkuu wa ‘Klabu’ ya Simba Robertinho ameacha walaka kwa Rais wa timu hiyo, Mohammed Dewji na kumtaka amng’oe Aziz Ki Yanga. Robe...
11
Robertinho akosoa usajili Simba
Aliyekuwa ‘Kocha’ wa #Simba #Robertinho amekosoa usajili uliofanywa na ‘klabu’ hiyo kwa kueleza kuwa usajili uliofanywa katika dirisha kubwa haukuwa na...
07
Simba yampa Thank you Robertinho
‘Klabu’ ya #Simba imechukua maamuzi ya kuvunja mkataba wa aliyekuwa ‘Kocha’ Mkuu wa ‘timu’ hiyo Robertinho Oliveira. Vilevile ‘timu&r...
07
Robertinho awekwa kikaangoni, Kipigo cha Yanga
Kocha mkuu wa ‘Klabu’ ya Simba Roberto Oliveira 'Robertinho' anatajwa kukalia kuti kavu kutokana na matokeo ya ‘mechi’ iliyochezwa juzi kwenye Uwanja w...
23
Robertinho kuja na mpango mpya ‘mechi’ ya marudiano
‘Kocha’ wa ‘klabu’ ya Simba,  Robertinho ameahidi kuja na mpango wa tofauti katika mchezo wa marudiano dhidi ya Al Ahly unaotarajiwa kuchezwa kesh...
27
Mchezaji Victor kuichukulia hatua ‘klabu’ ya Napoli kwa kumdhihaki
Mchezaji wa ‘timu’ ya taifa nchini Nigeria, Victor Osimhen, inadaiwa anampango wa kuchukua hatua za kisheria kutokana ...
20
Robertinho awakalia kooni wachezaji wake dhidi ya ‘mechi’ ya marudiano na Dynamos
Akiwa katika kikao na wachezaji wake ‘kocha’ wa ‘Klabu’ ya #Simba, #Robertinho amesema kuwa kuna mkataba m...
29
Robertinho atamani ‘mechi’ za kirafiki
Kocha mkuu wa ‘klabu’ ya #SimbaSC, Robertinho amesema ‘timu’ yake ina siku 30 za mapumziko kwa hiyo ndani ya kipindi chote hicho anahitaji ‘mechi...

Latest Post