Kupitia ukurasa wake wa instagram msanii kutokea Lebo ya WCB amewashukuru mashabiki zake kwa muitikio mkubwa waliuonesha baada ya kuachia kionjo cha wimbo wake wa‘Inaman...
Mwanamuziki Rihanna amemjia juu shabiki mmoja aliefahamika kwa jina la ‘Lorenzo Hirmez’ baada ya shabiki huyo kumwambia Riri anakomwe.“Tunahitaji album komwe...
Mwanamuziki kutoka Marekani Rihanna amefunguka kuwa ameumaliza mwaka 2024 bila ya kuonja pombe ya aina yoyote ile.Riri ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa instagram kwa ku-...
Baada ya mwanasiasa na mwanamuziki wa hip-hop nchini, Joseph Haule maarufu ‘Professor Jay’ kurudi kwenye siasa kwa mara nyingine baada ya ukimya wa muda mrefu ulio...
Mashabiki wamemnanga mwanamuziki wa Marekani John Legend baada ya kuimba vibaya wimbo wa marehemu mwanamuziki Price katika mkutano wa Kitaifa wa Kidemokrasia (DNC).Kupitia mit...
Baada ya mwanamuziki kutoka Nigeria, Paul Nonso Okoye ‘Rudeboy’ kuweka wazi kuwa kundi la P-Square limesambaratika kwa mara nyingine, kwa upande wa Peter Okoye, &l...
Usiku wa jana Agosti 1, ‘rapa’ wa Marekani Cardi B kupitia ukurasa wake wa Instagram ali-share picha na kutangaza kuwa anatarajia kupata mtoto wake wa tatu, jambo ...
Mtayarishaji wa nyimbo kutoka nchini Marekani DJ Khaled amewataka mashabiki wake kumshawishi Rihanna kushiriki katika albumu yake mpya.
Mkali huyo mwenye umri wa miaka 48 amet...
Mwanamuziki wa Singeli, Meja Kunta, ameweka wazi mipango yake ya kufanya kazi na rapa mkongwe Rashidi Abdallah, maarufu kama Chidi Benz.
Akizungumza katika mahojiano maalumu n...
Kila ifikapo siku ya Alhamisi watu hupamba mitandao ya kijamii kwa picha na video za matukio yaliyopita. Matukio hayo hugusa sehemu mbalimbali ikiwemo kwenye michezo, familia ...