Mtandao wa kuuza na kusikiliza muziki Spotify imeripotiwa kuwalipa wasanii kiasi cha dola 10 bilioni ikiwa ni zaidi ya Sh 26.5 Trilioni kwa wasanii duniani kote. Huku kiwango ...
Moja ya wimbo ambao umekuwa ukikubalika zaidi hasa kipindi cha huzuni ni ‘See You Again’ uliyoimbwa na mwanamuziki Wiz Khalifa akimshirikiana na Charlie Puth.Wimbo...
Mojawapo ya sababu kuu zinazochochea ukuaji wa muziki wa Afrika katika soko la kimataifa inatajwa kuwa ni ushirikiano ‘kolabo’ kati ya wasanii wenyewe kwa wenyewe ...
Mwanamuziki na produza kutoka Marekani, Bruno Mars ameweka historia kuwa msanii wa kwanza kufikisha wasikilizaji milioni 150 kila mwezi kupitia mtandao wa kuuza na kusikiliza ...
Rapa wa Marekani mwenye asili ya Canada, Drake ameripotiwa kufuta kesi aliyoifungua dhidi ya Spotify na Universal Music Group baada ya kuzishutumu taasisi hizo kwa kuanzisha m...
Na Ammar MasimbaAsilimia kubwa ya wasanii wanaochipukia na hata wale walioko tayari kwenye gemu ya muziki hawajui jinsi ya kufanya biashara ya kusambaza kazi zao. Hali hii ime...
Mwanamuziki anayetamba na wimbo wa ‘Wale Wale’ aliyomshirikisha Diamond, Zuchu ametajwa kuongozwa kusikilizwa katika mtandao wa Spotify kwa upande wa wanawake.Zuch...
Zikiwa zimebaki wiki kadhaa kuupindua mwaka 2024 na kuingia 2025, mtandao wa kuuza na kusikiliza muziki wa Spotify umeshusha orodha ya wasanii wanaosikilizwa zaidi kutoka Tanz...
Rapa Drake ameripotiwa kuishitaki mitandao ya kuuzia muziki Universal Music Group (UMG) na Spotify kufuatia na wimbo wa Kendrick Lamar.Kwa mujibu wa Billboard, Drake amechukua...
Na Asma Hamis Mwaka 2024 umeleta mafanikio makubwa kwa wanamuziki wengi wa rap duniani, huku baadhi yao wakivunja rekodi za kusikilizwa zaidi kwenye mtandao wa Spotify.Wa...
Wanamuziki maarufu wa Nigeria, Ayra Starr na Tems wametangazwa kuwa mwaka huu nyimbo zao ndio zinasikilizwa zaidi kutokea nchini humo kupita Jukwaa la Spotify.
Inaelezwa kuwa ...
Zikiwa zimepita siku chache tangu albumu ya mwanamuziki kutoka Afrika Kusini, Tyla kufikisha zaidi ya wasikilizaji (streams) bilioni moja katika mtandao wa Spotify na sasa ni ...
Mwanamuziki wa Africa Kusini, Tyla ambaye alijulikana zaidi kupitia wimbo wake wa ‘Water’ ameendelea kufanya vizuri kupitia ngoma zake, hii ni baada ya albumu yake...
Nyota wa muziki kutoka nchini Afrika Kusini ameripotiwa kuwa ndiye msanii anayefanya vizuri Barani Africa baada ya kupata waskilizaji wengi kupitia mtandao wa Spotify huku aki...