Britt Allcroft, mtayarishaji wa katuni ya Thomas & Friends, kutoka Uingereza amefariki dunia akiwa na umri wa miaka 81.Taarifa ya kifo chake ilithibitishwa na mtayarishaji...
Mwanamuziki mkongwe wa Canada Celine Dion afunguka kuwa linapokuja suala la historia yake yupo tayari kwa lolote.Mkali huyo wa ‘My Heart Will Go On’ akizungumza na...
Tetesi zinadai kuwa klabu ya Manchester United wako mbioni kuisaka saini ya beki wa klabu ya Bayern Munich ambaye ni raia wa Uholanzi, Matthijs De Ligt.
Inaelezwa kuwa mchezaj...
Mwanamuziki wa Nigeria, #BurnaBoy amedai kuwa hakuna mwandishi wa nyimbo anayeweza kuandika wimbo wa hadhi yake. Burna Boy ameyasema hayo kupitia mtandao wake wa X (Zaman...
Mwanamuziki wa Marekani Cardi B ameshitakiwa na wasanii wawili nchini humo kwa madai ya kutumia baadhi ya mistari yao katika wimbo wake wa ‘Enough’ bila kuwapa taa...
Baada ya mwanamuziki Zuchu na mzalishaji wa muziki Trone kuthibitisha ujio wa albumu ya msanii huyo kuwa imekamilika kwa asilimia 100, sasa Zuchu ameweka wazi kuwa cover ya al...
Mtayarishaji wa muziki kutoka nchini Nigeria, #KukurukuBeats amefunguka na kutoa heshima kwa msanii #Ruger akidai kuwa amemfanya nyota yake ing’ae baada ya msoto wa muda...
Mke wa wa mtangazi wa ‘The Repair Shop’ kutoka nchini Ungereza #JayBlades, #LisaMarieZbozen amepanga kudai talaka haraka baada ya kuona hakuna njia yeyote ya kuend...
Mke na mtoto wa marehemu George Floyd wameripotiwa kutayarisha filamu iitwayo ‘Daddy changed the World’ ya maisha ya mwanaume huyo ambaye aliuwawa na polisi nchini...
Mwanamuziki Zuhura Othman (Zuchu) ameandika rekodi ya kuwa msanii wa kwanza Tanzania na Afrika Mashariki kuwa na video moja iliyofikisha idadi ya watazamaji milioni 100 katika...
Muongozaji video, Erick Mzava amekanusha madai ya kumtapeli mwanamuzi Kayumba akisema amesharudisha sehemu ya fedha kiasi cha Shilingi 7 milioni ambazo alipewa kwa ajili ya ku...
Kutokana na kuwepo kwa mpango wa kutengenezwa filamu ya mfalme wa Pop Michael Jackson (MJ) huku akisakwa mtu ambaye atafanana na kuwa na miondoko kama msanii huyo, hatim...
Kutokana na mambo yanayoendelea kwenye mitandao ya kijamii yakimhusisha mwanamuziki na dansa Chino Kidd kuwa kwenye mgogoro na bosi wake wa zamani Marioo, mkali huyo amefunguk...
Mtu mmoja aliyetambulika kwa jina la Nabeel ambaye alikuwa dereva kwenye gari lililombeba mwanamuziki na Dancer #ChinoKid pamoja na wenzake, amefariki dunia kufuatia ajali ya ...