Mwaka 2006 liliandiliwa shindano la kusaka vipaji vya uimbaji lililopewa jina la 'Talent Show'. Shindano hilo lilikuwa na msisimko mkubwa kwani walijitokeza vijana wengi ambao...
Na Peter AkaroStaa wa Bongofleva, Nandy tayari ametangaza ujio wa albamu yake ya pili ambayo inatarajiwa kutoka mwaka huu ikiwa ni miaka tisa tangu alipotoka kimuziki na kibao...