Dar es Salaam. Ngoma mpya ya Diamond Platnumz, Komasava imeendelea kuteka mioyo ya mashabiki dunia na sasa supastaa wa Marekani, Chris Brown ameonekana akicheza wimbo huo kupi...
Mwanamuziki mkongwe wa Bongo Fleva nchini ambaye kwasasa anaishi Marekani na mpenzi wake Rotimi ameweka wazi kuwa amefanyiwa upasuaji (Surgery) wa jicho na kuwa kwa sasa anaen...
Rais wa Marekani Joe Biden ametia saini muswada wa sheria ambao endapo utakiukwa mtandao wa TikTok utapigwa marufuku kutumika nchini humo.
Baraza la wawakilishi la Bunge la Ma...
Mkurugenzi Mtendaji wa mtandao wa TikTok Shou Zi Chew amewataka watumiaji wa mtandao huo kupinga sheria ambayo inaweza kusababisha kupigwa marufuku matumizi ya TikTok nchini M...
Shirika la ‘Universal Music Group’ linalojihusisha na masuala ya haki milizi za wasanii limeamua kuondoa nyimbo zake katika mtandao wa kijamii wa TikTok baada ya k...
Serikali ya Nepal imepiga marufuku matumizi ya mtandao wa kijamii wa TikTok kutokana na tuhuma za kuwa inavuruga maelewano ya kijamii huku zaidi ya kesi 1,600 za uhalifu wa mi...
Leo tupo na binti mwenye kipaji kikubwa kwenye upande wa muziki wa Bongo Fleva, si mwingine bali ni Zulfa Mohamed Ibrahim, na jina lake maarufu ni Xouh, wengi walimfahamu kupi...
Msimamizi wa mitandao ya kijamii ya ‘klabu’ ya #Napoli Alessio Fortino ameamua kuacha kazi baada ya mchezaji wa ‘timu’ hiyo Victor Osimhen kudhihakiwa ...
Mwimbaji wa nyimbo za injili mkazi wa Eldoret nchini Kenya, Mchungaji William Getumbe amejikuta katika mgogoro na watumishi wenzake, huku wakimtoa kwenye kundi (group) lao la ...
Mkali wa Afro Pop, ambae anatamba na ngoma yake ya Unavailable Davido anatarajia kupata mtoto mwingine na mkewe, Chioma Avril Rowland. Katika video waliyo post kupitia mtanda...
Serikali kutoka nchini Australia mbioni kupiga marufuku matuminzi ya TikTok katika vifaa vya Serikali na itachukua hatua hiyo kwasababu za kiusalama ikiungana na Marekani, Can...
Mawaziri kutoka nchini Uingereza wamezuia kutimia mtandao wa TikTok katika vifaa vya ofisi. Uamuzi huo umetajwa kuwa ni kwa sababu za kiusalama.
Serikali nchini humo imekuwa i...
Taarifa hii kutoka nchini Marekani ambapo Muswada huo ni mwendelezo wa kuupinga Mtandao wa TikTok unaomilikiwa na Kampuni ya ByteDance ya China. Aidha Novemba 2022,...