Mtengeneza maudhui kutoka nchini Marekani Mr Beast ambaye alijulikana zaidi kupitia mitandao ya kijamii baada ya kuzikwa akiwa hai kwa siku saba, ameweka wazi kuwa anashirikia...
Kheri ya mwaka mpya!Ni mwanzo wa mwaka 2025, walioajiriwa na wafanyakazi wa sehemu mbalimbali wanarudi kazini baada ya mapumziko ya sikuku za mwisho wa mwaka. Zingatia mambo h...
Chidimma Adetshina (23) ambaye aliamua kujiondoa kwenye mashindano ya Miss South Africa kutokana na kubaguliwa kwenye shindano, kwa madai ya kuwa ni raia wa Nigeria, na sasa m...
Ikiwa zimepita saa chache tangu mchekeshaji Steve Nyerere kutoa taarifa juu ya Tanzania kuchaguliwa kuwa nchi ya kwanza kufanya filamu na South Korea baadhi ya waigizaji nchin...
Kiwango cha maambukizi ya ugonjwa wa Ukimwi mkoani Mara kimeongezeka kutoka asilimia 3.6 miaka mitano iliyopita hadi kufika asilimia 5 mwaka jana.
Hali hiyo inatokana na sabab...
Inadaiwa kuwa ‘klabu’ ya #AlNassrFC ya #SaudiArabia imefanya mazungumzo na nyota wa #Ureno, #CristianoRonaldo juu ya nyongeza ya mkataba mpya wa kuendelea kusalia ...
Baada ya kufungiwa miezi mitatu kwa kutojihusisha na kazi za sanaa na ‘faini’ ya milioni tatu mwanamuziki #Billnass naye amefika Baraza la Sanaa Taifa #BASAT...
Muigizaji mkongwe kutoka nchini Nigeria, John Ikechukwu, maarufu kama Mr Ibu ameweka wazi kuwa anapambana na ugonjwa unaotishia maisha yake huku akiwaomba watu kumsaidia pesa ...
Bondia maarufu nchini Hassani Mwakinyo amefungiwa kupanda ulingoni kwa muda wa mwaka mmoja na faini ya tsh 1 milioni kufuatia utovu wa nidhamu wa kugomea kupanda ulingoni.
Mwa...
Mwanamuziki kutoka nchini Nigeria Oxlade amedai alishindwa kumaliza chuo mwaka wa mwisho kwa sababu ya kuzongwa na mambo ya kishirikina.
Mkali huyo aliyetamba na wimbo wa &lsq...
Bilionea Elon Musk, amefunguliwa mashitaka na ex wake Grimes, ambaye alizaa naye watoto watatu,
juu ya haki ya malezi ya watoto wao.
Grimes amefungua mashitaka hay...
Mrembo Hamisa Mobetto, ikiwa imepita siku moja tangu afike kwenye Hospitali ya Taifa Muhimbili kutoa msaada kwa watoto wanaopatiwa matibabu ya saratani, mwanadada huyo aomba w...
Mwanamuziki kutoka #Kenya, #Akothee, awakataa wakenya wenzake waache kum-tag kwenye kauli zao za kudhihaki muziki wa Tanzania.
Akothee amekataa kuingilia vita hiyo ya kumuziki...