Mtoto wa Rais wa Uganda Yoweri Museveni, Muhozi Kainerugaba amezua gumzo mtandaoni baada ya kuonesha kuvutiwa na mwanamuziki kutokea Nigeria Ayra Starr.Kupitia mtandao wake wa...
Msemo wa 'Mwalimu wa mathe hapa ni wapi?', unaendana na stori ya Robert Heft, ambaye mwaka 1958 akiwa mwanafunzi mwenye umri wa miaka 17, alibuni bendera ya Marekani yenye nyo...
Rais wa Uganda, Yoweri Museveni amesema huwa anakataa kupokea mahari kwa ajili ya binti zake, badala yake hulipa mahari kwa familia za vijana wa kiume wanaooa kwake.Hii ni kin...
Baada ya kudai kuwa anampango wa kufanya ‘kolabo’ na wasanii wa wakubwa Barani Africa ‘Rapa’ kutoka Marekani #RickRoss ameendelea kuonesha upendo wake ...
Baada ya kutumikia kifungo cha nyumbani tangu Agosti 30, 2023, hatimaye mke wa Rais wa zamani wa Gabon, Sylvia Bongo ametupwa jela katika gereza la Libreville, Oktoba 10 kwa m...
Zoleka Mandela, ambaye ni mjukuu wa Rais wa kwanza mzalendo nchini Afrika Kusini, Nelson Mandela, amefariki dunia kwa saratani akiwa na umri wa miaka 43, familia yake i...
Mwimbaji kutoka nchini Nigeria, Tochukwu Ojogwu maarufu kama Odumodublvck amekataa mwaliko wa kutumbuiza kwenye shughuli ya uapisho wa Rais mteule wa Taifa hilo, Bola Ahmed Ti...
Hellow!!it’s furahidayy, haya sasa kwa mara nyingine tena tunakutana this weekend huku mambo mengine ya kiendelea na sisi team Scoop hatuja poa tunaendelea kukupasha yal...
Rais wa Marekani Joe Biden amempongeza kiongozi mpya wa benki ya dunia Biden Ajay Banga siku ya jumatano kuwa ni kiongozi mwanamageuzi
Rais ambaye atajumuisha mabadiliko ya ha...
Mgombea wa chama tawala Bola Tinubu ametangazwa kuwa mshindi wa uchaguzi wa urais uliokumbwa na utata mkubwa nchini Nigeria. Mwanasiasa huyo mkongwe mwenye umri wa miaka...
Taarifa kutoka nchini Nigeria ambapo mke wa Rais nchini humo, Aisha Buhari amewataka wadukuaji kuondoa taarifa za Uongo walizoweka kwenye kurasa zake za Instagram na Face...
Mke wa Rais wa Marekani Jill Biden anatarajiwa kufanya Ziara nchini Namibia na Kenya siku ya Jumatano anapoanza ziara yake ya siku tano barani Afrika.
Ikulu ya White House ili...
Aliyekuwa Rais wa zamani nchini Pakistan Pervez Musharraf ambaye alishiriki Mapinduzi ya Kijeshi Mwaka 1999 amefariki akiwa na umri wa Miaka 79 alipokuwa akipatiwa Matibabu&nb...
Mahakama nchini Argentina imetoa hukumu kwa Cristina Fernandez de Kirchner (69), kutokana na makosa ya rushwa ambapo amedaiwa kutumia vibaya madaraka yake kwa kutoa kandarasi ...