Kheri ya mwaka mpya!Ni mwanzo wa mwaka 2025, walioajiriwa na wafanyakazi wa sehemu mbalimbali wanarudi kazini baada ya mapumziko ya sikuku za mwisho wa mwaka. Zingatia mambo h...
Baadhi ya kampuni kutoka nchini China zimeripotiwa kuwa na mpango wa kuhamasisha wafanyakazi wasio na wapenzi kwa kuwapa pesa.Imeelezwa kuwa wafanyakazi wasiokuwa na wenza wat...
Katika mazingira ya kazi, kuna vitu vingi vinavyoweza kujadiliwa kwa uwazi kati ya wafanyakazi, lakini pia kuna mambo ambayo ni bora kubaki siri. Kuweka mipaka katika masuala ...
Na Aisha Lungato
Katika maisha ya kawaida mambo hatari yanayoweza kusababisha mtu kupoteze maisha ni pale anapokosa msaada wa huduma ya kwanza pindi anapokabiliwa na ugonjwa a...
Na Aisha Lungato
Kwa mujibu wa Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini ya Mwaka 2008 kifungu namba 31 ibara (1) imeeleza kuwa Mwajiri atatakiwa kutoa likizo kwa mfanyakazi angalau...
Jiji la Arizona, lililopo US state, limeidhinisha mpango ambao utawaruhusu wafanyikazi wasio na makazi kulala kwenye maegesho ya magari kutokana na kupanda kwa bei za kupangis...
Baada ya kampuni ya #Apple kuzindua miwani ambayo unaweza kutumia kwa matumizi mbalimbali ikiwemo ‘Kompyuta’ kuangalia movie, kuingia katika mitandao ya kijamii na...
Inadaiwa mara nyingi watu huongea ukweli pindi wakiwa na hasira au wamelewa, kutokana na dhana hiyo aliyekuwa mmiliki na muanzilishi wa kampuni ya Apple, Steve Jobs kutoka nch...
Waswahili wanasema ‘asiefanya kazi na asile’ basi na mimi naendelea kuishi katika msemo huo, kama kawaida yangu lazima tukumbushane kuhusiana na masuala mazima ya ...
Mwanamke mmoja anaye fahamika kwa jina la #AisyluChizhevskaya mwenye umri wa miaka 53 kutoka nchini #Urusi amefunga ndao na mwanaye wa kumlea #DanielChizhevsky (22).
#Aisylu a...
Ama kweli mambo ni mengi muda ni mchache, ni wiki nyingine tena tunakutana hapa kwenye segment ya kazi chimbo pekee tunakusogezea mambo mbalimbali kuhusiana na ajira.
Na leo n...
Wafanyikazi wawili wa Mamlaka ya Usalama wa Uchukuzi (TSA) wamefumwa wakiiba pesa na vitu vingine kutoka kwenye mifuko ya abiria katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Miami F...