Staa wa muziki na mjasiriamali Rihanna, amejitokeza kukanusha video iliyosambaa kwenye mitandao ya kijamii ikimuonesha akizungumza kuhusu manunuzi yake ya vitu vya gharama kub...
Mwanamuziki na mmiliki wa Lebo ya WCB Diamond Platnumz amekanusha msanii wake Mbosso kuondoka kwenye lebo hiyo.Kupitia ukurasa wake wa Instagram Diamond ameeleza kuwa tayari w...
Lebo ya muziki inayofanya vizuri Bongo ya Wasafi Classic Baby ‘WCB’ imetangaza kusaka wasanii wapya sita mwaka huu.Taarifa hiyo iliyotolewa na Pruducer wa lebo hiy...
Ndivyo tunaweza kusema kufuatia Diamond Platnumz kuendelea kuwa kinara wa mambo mengi katika tasnia ya muziki hasa wa Bongofleva ambao umempatia mashabiki wengi tangu mwaka 20...
Licha ya Rayvanny kushirikiana na aliyekuwa bosi wake kimuziki, Diamond Platnumz katika nyimbo 10, hakuna hata moja iliyofikia rekodi aliyoipata katika nyimbo mbili tu alizoms...
Msanii wa WCB D Voice ametoa angalizo kwa wasanii wa singeli kutotoa nyimbo Desemba 31,2024 kwani watakula hasara.“Wale Wasanii wa Singeli mnaosubiria mtoa nyimbo tarehe...
Mwimbaji wa Bongo Fleva, Queen Darleen kwa kipindi cha takribani miaka 20 akiwa ndani ya tasnia hiyo, ana makubwa aliyoyafanya katika muziki wake kwa kiasi chake akitengeneza ...
Mwanamuziki William Lyimo 'Billnass' amesema kabla ya kwenda kwenye tamasha lolote ambalo atakuwa amealikwa kitu cha kwanza ambacho huwa anaangalia maslahi ya tasnia kabla ya ...
Mwanamuziki wa Bongo Fleva nchini D Voice amedai kuwa yeye ndiyo msanii mdogo kutoka Afrika Mashariki anayerekodi video za mkwanja mrefu, huku akiwataka wanaobisha kuonesha mi...
Staa wa Bongofleva, Harmonize anaenda kuzindua albamu yake ya tano tangu ametoka kimuziki miaka tisa iliyopita, huku rekodi mbili kubwa zikiwa upande wake katika mradi huo ali...
Mwanamuziki wa bongo fleva nchini Lava Lava ametoa shukrani kwa baadhi ya wasanii ambao wamemtafuta na kumpongeza baada ya kuachia ngoma zake mbili.Lava Lava kupitia ukurasa w...
Baada ya msanii wa #BongoFleva Diamondplatnumz kuwaalika baadhi ya wasanii kwenye tamasha lake la Wasafi Festiva, akiwemo mkali Alikiba, sasa msanii huyo kupitia mahojiano yak...
Imekuwa kawaida kuona wanamuziki wakitumia wapenzi wao kama video vixen au video king kwenye video zao, na kama maudhui ya wimbo ni kuhusu mama basi wengi hutumia mama w...