Washiriki wa mashindano ya Miss Tanzania wameihimiza Serikali kuimarisha zaidi mazingira ya uwakala wa bidhaa za kimataifa za vipodozi ili kupunguza changamoto ya mianya ya bi...
Mwanamuziki kutoka Marekani Rihanna amefunguka kuwa ameumaliza mwaka 2024 bila ya kuonja pombe ya aina yoyote ile.Riri ameyasema hayo kupitia ukurasa wake wa instagram kwa ku-...
Baadhi ya kampuni kutoka nchini China zimeripotiwa kuwa na mpango wa kuhamasisha wafanyakazi wasio na wapenzi kwa kuwapa pesa.Imeelezwa kuwa wafanyakazi wasiokuwa na wenza wat...
Baada ya mwanamuziki kutoka Nigeria, Paul Nonso Okoye ‘Rudeboy’ kuweka wazi kuwa kundi la P-Square limesambaratika kwa mara nyingine, kwa upande wa Peter Okoye, &l...
Mwanamuziki wa Singeli, Meja Kunta, ameweka wazi mipango yake ya kufanya kazi na rapa mkongwe Rashidi Abdallah, maarufu kama Chidi Benz.
Akizungumza katika mahojiano maalumu n...
‘Klabu’ ya Manchester United imepanga kutumia Pauni 60 milioni kwenye usajili wa straika wa Wolves, Matheus Cunha huku ikiweka mipango yake sawa kumnyakua pia staa...
Waendesha mashitaka kutoka nchini Uhispania ambao walikuwa wakisimamia kesi ya nyota wa zamani wa Brazil, Dani Alves wanataka mchezaji huyo aongezewe adhabu ya kifungo, huku w...
‘Rapa’’ Kanye West amewataka waandishi wa udaku (mapaparazi) wampumzishe maana anashindwa ku-enjoy na kula bata jijini Paris kutokana na kumuandama kwa kumfu...
Mfanyabiashara maarufu kutoka nchini Urusi ambaye kwasasa anaishi China, Felix Demin (32) ameripotiwa kubadirisha ndege iliyostaafu kufanya shuguli zake za kusafirisha abiria ...
Mtangazaji wa CNN aitwaye #SaraSidner ameweka wazi kuwa anasumbuliwa na saratani ya matiti wakati akiwa live kwenye kipindi cha asubuhi.
#Sara amefichua ugonjwa huo kwa lengo ...
Muigizaji mkongwe wa #BongoMovie Wastara Juma amewataka watu watumie vizuri nafasi na fursa wanazo zipata, huku akidai kuwa kwenye maisha ni ngumu sana kupata nafasi ya pili.
...
Waziri wa Mambo ya ndani wa nchini Ufaransa, Gerald Darmanin, anamshutumu mchezaji wa ‘klabu’ ya Al-Ittihad ya Uarabuni, Karim Benzema kwa kuwa na uhusiano na kund...
Mashabiki wa South Sydney nchini Australia wavunja ukimya wao kwa kutaka kujua kuhusu hali ya mwanasoka Nathan Merritt anayepigania maisha yake hospitalini baada ya kuto...