24
Utajiri wa Jackie Chan hauwahusu Watoto wake
Mwigizaji wa Hong Kong Jackie Chan ametangaza nia ya kuchangia utajiri wake wote, unaokadiriwa kufikia dola 400 milioni 'Sh 966 bilioni', kama msaada kwa watu wenye uhitaji.Mw...
14
Whozu awapiga mkwara wanaumtumia ujumbe Wema
Mwanamuziki wa #BongoFleva, nchini #Whozu ametoa onyo kwa wanao mtongoza mpenzi wake #WemaSepetu kupitia akaunti yake ya Instagram na Snapchat. Whozu ameyasema hayo kupitia ma...
14
Mbosso, Whozu na Nenga walegezewa kamba
Ikiwa imepita wiki moja tangu wasanii Mbosso, Billnass na Whozu kufungiwa kujihusisha na kazi za muziki, kutokana na video ya Whozu ‘Ameyatimba’ kuwa na maudhui ya...
07
Wema Sepetu: Kufa sifi lakini chamoto nakiona
Kupitia ukurasa rasmi wa Snapchat, wa The Tanzanian Sweetheart Wema Sepetu ame-share ujumbe ambao umewashitua mashabiki wengi na kuwafanya waulizane kipi kimemkuta mrembo huyo...
30
Whozu: Nimeyatimba, kama mama mkwe hakukubali nyoosha mkono
Kufuatia na kitendo kilichoteka usiku wa kuamkia jana katika birthday ya Wema, baada ya mama yake, kueleza kuwa anakasirishwa na kitendo cha Whozu kutokufuata taratibu za ndoa...
29
Mwijaku: Whozu tafuta pesa uheshimiwe ukweni
Muigizaji na mwandishi wa habari Mwijaku ametoa ushauri kwa mwanamuziki Whozu kuwa atafute pesa ili aweze kuheshimiwa ukweni,Hii inakuja baada ya kilichotokea usiku wa kuamkia...
28
Whozu: Nikifariki msisaha kuniongelea kama nilipendwa sana
Mwanamuziki wa #BongoFleva #Whozu ameweka hisia zake hadharani kwamba anapendwa sana na mpenzi wake #WemaSepetu amesema endapo akifariki katika wosia wake watu wasisahau kumuo...
13
Ukweli kuhusu ujauzito wa Wema Sepetu
Tanzanian Sweetheart, Wema Sepetu amejikuta akishindwa kuzuia hisia  baada ya picha na video zake, kusambaa katika mitandao ya kijamii zikimuonesha akiwa na ujauzito. Wem...
21
Whozu: wanasema napendeza kuwa muislamu
Ooooooooh! Waislamu wenyewe wanasema kuwa dini yao haimkatai mtu niwewe tuu kuichangua basi bwana Staa wa muziki whozu ameweka wazi swala la yeye kubadili dini na kuwa mu...
12
Whozu: Nikiachwa tena mje mnizike
Nyie nyie usiseme mapenzi machungu sema uliye nae hakupendi bwana, basi kupitia mitandao ya kijamii gumzo kubwa ni kuhusiana na mahusiano ya Wema na Whozu, wawili hao wanazidi...
11
Wema: Whozu ukiniacha waje wanizike
Alooooh! Mapenzi yametaradadi huku upande wa pili kwa madame mwenyewe, Wema Sepetu, basi bwana kupitia ukurasa wake wa Instagram ameandika kuwa mpenzi wake ambae ni msanii wa ...
10
Tunda, Whozu mahaba mazito
Aachwi mtu hapa, hivyo ndivyo unaweza kusema baada ya mwanadada Cappuccino Tunda kuzima story za mitandaoni zilizosemekana ameachana na Whozu baada ya kumpost 'baby dady' wake...
06
Whozu aonesha sura ya mtoto wake
Unaambiwa bwana, kwa mara ya kwanza Msanii Whozu ameonesha sura ya mtoto wake aliyepewa jina la Lola ambaye yeye pamoja na Tunda wamebarikiwa kumpata mwaka 2021. Sasa bwana!! ...
06
Whozu amzawadia Tunda gari
Ee bwana mambo yanazidi kunoga huko mitandaoni ambapo hii usiku wa kuamkia leo, msanii Whozu ameamua kumzawadia mpenzi wake Tunda gari mpya. Whozu amemzawadia Tunda gari hiyo ...

Latest Post