Mwigizaji kutoka Marekani Will Smith amedokeza ujio wa kurudishwa kwa filamu ya zamani ya ‘The Matrix’ akiweka wazi kuchukua nafasi ya Neo ambaye alikuwa ni muhusi...
Mwigizaji na ‘rapa’ wa Marekani Will Smith ameripotiwa kurudi tena jukwaani kama mwanamuziki ambapo anatajiwa kutumbuiza katika Tuzo za BET.
Katika taarifa iliyoto...
Baada ya kukutana na changamoto katika ndoa zao waigizaji Will Smith na Martin Lawrence, wametoa ushauri kwa wanandoa na wapenzi kwa kusisitiza kutendeana mema.
Wawili hao wam...
Mwigizaji kutoka Marekani Martin Lawrence amefichua siri kuwa aliwahi kuombwa kuigiza pamoja na mkali wa filamu za mkono Jackie Chan katika filamu ya ‘Rush Hour’ y...
Mwigizaji kutoka #Marekani ,. Will Smith ameripotiwa kupata maokoto mengi katika mauzo ya filamu zake mbalimbali anazozitoa huku filamu ya ‘Bad Boys’ ikiongoza kwa...
Mwigizaji kutoka Marekani Will Smith ameweka wazi kuwa yeye na mwigizaji mwenziye Michael B. Jordan wanampango wa kutoa muendelezo wa filamu ya ‘I Am Legend 2’.Smi...
Willow Smith ambaye ni mtoto wa mwigizaji kutoka nchini Marekani, Will Smith, ameweka wazi kuwa mafanikio aliyonayo hayatokani na wazazi wake bali ni juhudi zake mwenyewe.Will...
Tarehe na mwezi kama wa leo miaka miwili iliyopita dunia ilishuhudia kile kilichoitwa utovu wa nidhamu baada ya mwigizaji Will Smith kumchapa kofi mchekeshaji ambaye pia ni mw...
Mwigizaji maarufu kutoka nchini Marekani Will Smith ameweka wazi kuwa anapenda sana kuwa maarufu kwani unamfanya ajiskie kuwa salama zaidi.
Will ameyasema hayo siku ya Jana Ju...
Muigizaji na mwandishi Jada Smith ameweka wazi kuwa anatamani binti yake Willow Smith apate mahusiano yanaayofanana na yake, yeye na mumewe Will Smith.Jada ameyasema hayo waka...
Licha ya Will Smith na Jada kutengana kwa miaka 7 sasa lakini waliutumia vizuri muda wao wakati watoto wao walipokuwa wadogo.
Jada kupitia mahojiano yake ya hivi karibuni amew...
Mchekeshaji kutoka nchini Marekani amechukizwa na kitendo cha aliyekuwa mke wa Will Smith, Jada Smith kuendelea kumtaja kwenye mambo yake huku akimtaka mwanamama huyo kulitoa ...
Mwanamuziki wa Hip-hop Fat Joe ambaye pia ni Mtangazaji na Mtayarishaji Mkuu wa Kipindi cha Tuzo za BET Hip Hop, ameeleza alivyoumia baada ya kumkosa Will Smith kwenye j...